• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

MIRADI YA MAENDELEO 6 YENYE THAMANI YA MILIONI 967.2 WILAYANI URAMBO YAZINDULIWA NA MWENGE WA UHURU

Posted on: July 15th, 2021

NA TIGANYA VINCENT

MIRADI sita yenye thamani ya milioni 967.2 Wilayani Urambo imezinduliwa na mbio maalumu za Mwenge wa Uhuru.

Kati ya miaradi hiyo Serikali kuu imechangia kiasi cha shilingi milioni 831.3 na, Halmashauri imechangia 134.9.

Kiongozi wa Mbio hizo Maalumu za Mwenge wa Uhuru Luteni Josephine Mwambashi amezindua miradi hiyo baada ya kuikagua katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Urambo.

Mradi wa kwanza aliweka jiwe la Msingi ni wa ujenzi wa uzio wa wa Mnada wa Mifugo Urambo ambao umegharimu shilingi milioni 134.7.

Amesema baada kujengwa kwa uzio huo na kufanikiwa kuongeza makusanyo ya siku kutoka wastani wa laki 6 hadi kufikia milioni 1.4 ni vema wakatumia fedha hizo kuboresha zaidi mazingira ya Manada huo.

Luteni Mwambashi amezindua pia mradi wa Ujenzi wa barabara ya lami 0.81km katika Mji wa Urambo yenye thamani milioni 416.

Akikagua chumba cha mradi wa  TEHAMA katika shule ya sekondari Urambo  uliogharimu milioni 10,amewataka wananfunzi wa Shule hiyo kutumia fursa hiyo kujiendeleza Kitaalum.

Luteni Mwambashi ameweka jiwe la msingi Ujenzi wa mradi wa maji kijiji cha Itebulanda wenye gharama yenye milioni 230 kwa kuwataka  Wasimamizi wa Mradi huo kuhakikisha wanaujenga kwa viwango vinavyotakiwa na kuukamilisha kwa wakati ili usaidie kupunguza adha kwa wananchi kufuata maji yasiyo salama umbali mrefu.

Aidha Mwenge wa uhuru ulikagua matumizi ya  mfumo wa kielekitroniki wa usimamizi na uendeshaji wa vituo vya kutolea huduma za afya (Got HOMIS) ambao umefungwa kwa gharama ya shilingi milioni 25.3 na kujionea jinsi ulivyoongeza makusanyo ya Serikali kutoka Laki tano kwa Mwezi na kufikia wastani milioni 4

Kiongozi huyo wa Mbio hizo Maalumu za Mwenge wa Uhuru Luteni Josephine amewaagiza wasiamimizi wa miradi kuhakikisha kunakuwepo na taarifa zote muhimu ili kuepuka usumbufu.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa