• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

MIRADI YA UJENZI WA MINARA 758 KUKAMILIKA IFIKAPO MWAKA 2025

Posted on: March 13th, 2024

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb), amethibitisha kuwa mradi wa kupeleka mawasiliano ya simu vijijini ambao ni ujenzi wa minara 758, utakamilika ifikapo mwaka 2025.

Waziri Nape alitoa kauli hiyo tarehe 13 Machi, 2024 alipokuwa akitoa maelezo mbele ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakati wa ziara katika eneo la ujenzi wa mnara wa mawasiliano ya simu katika Kijiji cha Itaga, Kata ya Misha, Tabora.


Waziri Nape alisema kuwa mikataba inayohusiana na mradi huo inatakiwa ikamilike ifikapo Februari 2025, na kuongeza kuwa kabla ya uchaguzi mkuu, minara yote itakuwa imewashwa na watu zaidi ya milioni 8 watakuwa wameunganishwa na mtandao.

Alisema kuwa, Serikali imepanga kuzindua zaidi ya minara 100 ambayo tayari imekamilika kwa awamu ya kwanza wakati wa sherehe za miaka 60 ya Muungano mwaka huo.


Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Selemani Moshi Kakoso (Mb), allitaka Serikali khakikisha kuwa Wizara itamaliza ujenzi wa minara hiyo kwa wakati, akisisitiza kuwa mawasiliano ni muhimu kwa jamii katika kuwezesha uchumi wa kidijitali.


Mhe. Kakoso pia alipongeza Wizara kwa jitihada zake za kuboresha huduma za mawasiliano nchini, pamoja na mafanikio yaliyopatikana katika zoezi la operesheni Anwani za Makazi.

Naye Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Bi. Justina Mashiba, alisema kuwa Serikali kupitia mfuko huo imetoa ruzuku ya shilingi milioni 320 kwa Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL kwa ajili ya ujenzi wa minara 34 ya mawasiliano katika maeneo maalum nchini.


Kwa upande wake, Mtendaji Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Mhandisi Peter Ulanga, alisema kuwa minara mingi inayojengwa na shirika hilo inaunganishwa na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano, na hivyo kasi ya mawasiliano imekuwa kubwa.

Minara hiyo 758 inajengwa kwa ushirikiano kati ya Serikali kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na kampuni mbalimbali za mawasiliano nchini, ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alizindua mradi huo tarehe 13 Mei 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Dodoma.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa