• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

MKUU WA MKOA WA TABORA MH. BALOZI DKT BATILDA S. BURIANI AFUNGUA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE NGAZI YA MKOA

Posted on: July 22nd, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Balozi Dkt Batilda S. Buriani afungua kikao cha tathmini ya utekelezaji wa viashiria vya mkataba wa lishe ngazi ya mkoa. katika ufunguzi huo, Mkuu wa Mkoa amezipongeza Halmashauri zote za Mkoa wa Tabora kwa kutekeleza maelekezo ya Serikali ya kutenga Tsh 10,000/= kwa kila mtoto chini ya miaka mitano katika mipango na bajeti ya 2022/2023.

Aidha ametoa maelekezo kwa Wakurugenzi na Waweka hazina wa Halmashauri kuhakikisha fedha zote zilizotengwa kutekeleza Afua za lishe ziweze kutolewa na kutekeleza Afua hizo kama ilivyo kusudiwa.

Mkuu wa Mkoa amewataka Waganga wakuu wa Halmashauri kuhakikisha vidonge vya kuongeza wekundu wa damu wa akina mama wajawazito havikosekani kwenye vituo vya kutolea huduma za afya ili akina mama hawa wasikose huduma hii wafikapo katika vituo vya kutolea huduma za afya.

Aidha, mkuu wa Mkoa, ametoa maelekezo kwa Waheshimiwa wakuu wa Wilaya kuhakikisha wanahamasisha jamii kipindi hiki cha kampeni ya mwezi wa afya na lishe ya mtoto iliyoanza tarehe 18//2022 hadi tarehe 18/8/2022 ili waweze kupeleka watoto wote wenye umri wa miezi 6-59 katika vituo vya kutolea huduma za afya waweze kupata nyongeza ya matone ya Vitamin A kwa ajili ya kuimarisha kinga za miili yao , ukuaji mzuri wa mwili na akili zao.

Matangazo

  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA 2022 May 06, 2022
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • NAMBA ZA MAWASILIANO OFISI YA MKOA TABORA November 23, 2020
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKUU WA MKOA WA TABORA MH. BALOZI DKT BATILDA S. BURIANI AFUNGUA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE NGAZI YA MKOA

    July 22, 2022
  • WATU WAPOTEZA MAISHA WILAYANI SIKONGE BAADA YA KUFUNIKWA NA KIFUSI

    November 19, 2021
  • RC TABORA ASEMA WAKAZI WA URAMBO KUPATA MAJI KWA ASILIMI 95 IFIKAPO MWAKA 2025

    November 08, 2021
  • RC TABORA AAGIZA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KUTOA ELIMU YA UJASIRIAMALI KWA WALENGWA WA TASAF

    November 03, 2021
  • Angalia zote

Video

JPM BANDARINI
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • Government Portal
  • SALARYSLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa