• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

MWENGE WA UHURU KUZINDUA MIRADI YA BILIONI 37.9 MKOANI TABORA

Posted on: July 12th, 2021

NA TIGANYA VINCENT

Jumla ya miradi mbalimbali ya Maendeleo 37 yenye jumla ya thamani ya Shilingi Bilioni 37.9 inatarajiwa kuzinduliwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru mkoani Tabora zinazoanza kesho.

Kauli hiyo imetolewa leo na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Buriani wakati wa mkutano na waandishi wa habari Ofisini kwake.

Amesema kwenye miradi hiyo Serikali kuu imechangia 35.7, Halmashauri zimechangia milioni 963  , wananchi wamechangia milioni 142.

Balozi Dkt. Batilda amesema ujumbe mkuu wa Mbio hizi Maalum za Mwenge wa Uhuru 2021 ni “TEHAMA ni msingi wa taifa endelevu; itumie kwa usahihi na uwajibikaji”

Amewaomba  wananchi wote wa Mkoa wetu wa Tabora kujitokeza na kushiriki mahali ambapo Mwenge wa Uhuru utapita na kushuhudia jitihada za Maendeleo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

Balozi Dkt. Batilda amewakumbusha wakazi wa Mkoa wa Tabora  kuendelea kuchukua tahadhari kubwa kwa Ugonjwa wa COVID 19 katika maeneo na shughuli zote za Mwenge wa Uhuru na Vitakasa mikono(Sanitizer), kuvaa barakoa, kunawa mikono mara kwa mara kwa maji tiririka.

Matangazo

  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA 2022 May 06, 2022
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • NAMBA ZA MAWASILIANO OFISI YA MKOA TABORA November 23, 2020
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKUU WA MKOA WA TABORA MH. BALOZI DKT BATILDA S. BURIANI AFUNGUA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE NGAZI YA MKOA

    July 22, 2022
  • WATU WAPOTEZA MAISHA WILAYANI SIKONGE BAADA YA KUFUNIKWA NA KIFUSI

    November 19, 2021
  • RC TABORA ASEMA WAKAZI WA URAMBO KUPATA MAJI KWA ASILIMI 95 IFIKAPO MWAKA 2025

    November 08, 2021
  • RC TABORA AAGIZA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KUTOA ELIMU YA UJASIRIAMALI KWA WALENGWA WA TASAF

    November 03, 2021
  • Angalia zote

Video

JPM BANDARINI
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • Government Portal
  • SALARYSLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa