• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

MZEE WA MIAKA 67 MKOANI TABORA ASHILIKILIWA NA POLISI KWA KUMPA MIMBA MTOTO

Posted on: November 25th, 2020

JESHI la Polisi Mkoani Tabora linamshikilia Mzee wa miaka 67 kwa tuhuma za unyanyasi wa kijinsia na kusababisha ujauzito kwa mtoto wa miaka 13 ambaye ni mjukuu wake.

Kauli hiyo imetolewa  na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tabora ACP Barnabas Mwakalukwa wakati wa mkutano na waandishi wa Habari.

Alisema mnamo tarehe 13 Mwezi huu mama mzazi wa mtoto huyo  aligundua kuwa mtoto wake anayesoma darasa la sita katika Shule ya Msingi Kizigo iliyopo Manispaa ya Tabora (jina linahifadhiwa ) ni mjamzito.

Kamanda alimtaja mtuhumiwa kuwa ni Said Tumaini ambaye ni Mganga wa Kienyeji na Mkazi wa Kizigo katika Manispaa ya Tabora.

Katika tukio jingine Jeshi limefanikiwa kukamata vitu mbalimbali ambavyo vinadhaniwa kuwa ni vya wizi baada ya watu waliokuwa wamevipakia katika pikipiki tatu kuviacha na kukimbia.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Mwakalukwa alivitaja vitu vilivyokamatwa ni pamoja Runinga tatu, Komputya, Friji , Redio za Muziki(sabufa) tano na spika zake , pikipiki tatu zenye usajili wa MC 545 AGZ , MC 224 AXL na nyingine ambayo haina namba.

Alisema msako dhidi ya watu hao waliotoroka na kuacha pikipiki hizo na vitu hivyo unaendelea na kuwataka watu wenye taarifa ya watu hao kutoa taarifa Polisi.

Mwakalukwa alisema watafanyia uchunguzi wa kubaini hizo pikipiki ni mali ya nani na kutoa wito kwa wahusika kujisalimisha wenyewe kabla hawajakamatwa.

Wakati huo huo Polisi imefanikiwa kumkamata Joyce Seth mwenye umri wa miaka 52 na Emmanuel Shayo mwenye miaka 42 wote wakazi wa Kiloleni Mkoani Tabora wakiwa na mtambo mmoja na lita 120 za Pombe haramu ya gongo.

Alisema watuhumiwa wote wanatarajiwa kufikishwa Mahakamani mara baada ya taratibu kukamilika.

Kamanda Makalukwa alisema Jeshi la Polisi linaendelea na misako mikali dhidi ya wahalifu na watu wote watakaokutwa wakizurura nyakati za usiku wa kuanzia saa 6 watakamatwa.

Aidha aliwataka vijana kutumia msimu huu wa masika kulima mazao mbalimbali na kuachana na kutafuta fedha kwa njia ya kihalifu.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MHE. CHACHA AIPONGEZA TIMU YA UMISSETA MKOA KWA KUSHIKA NAFASI YA TATU KITAIFA

    July 01, 2025
  • RC. CHA AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WAPYA, WAAHIDI KUFANYA KAZI KWA BIDII NA UADILIFU.

    July 01, 2025
  • TABORA: MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YATAKIWA KUZINGATIA SHERIA NA MAADILI YA NCHI

    June 26, 2025
  • MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA YAENDESHA MAFUNZO MAALUM YA MATUMIZI YA MFUMO WA PEPMIS KWA WATUMISHI WA UMMA MKOA WA TABORA

    June 23, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa