• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

RAS TABORA ATEMBELEA MAENEO YALIOATHIRIWA NA MVUA

Posted on: January 29th, 2024



Kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Dkt John Mboya Katibu Tawala Mkoa wa Tabora ametembelea maeneo yalioathiriwa na mvua zinaendelea kunyesha Manispaa ya Tabora, Mkoani Tabora kwa kutembelea Kata ya Malolo na Mpera na kujionea hali halisi leo Januari 29, 2024.

 

Dkt. John Mboya amewataka wakazi wa Mkoa wa Tabora kuhama maeneo yote ambayo hujaa maji pindi mvua zinaponyesha ili kuepukana na madhara yanayosababishwa na mvua hizo.

“kama serikali napenda kutoa maagizo kwa wananchi wanaoishi maeneo ambayo maji hujaa pindi mvua inaponyesha ili kuepukana na madhara yanayoweza kusababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha ikiwemo vifo na upotevu wa mali.” Alisema Dkt. Mboya

 

Dkt. Mboya ameongeza kuwa, Serikali yetu ipo macho wakati wote na ikumbukwe kuwa, hapo awali Serikali kwa kushirikiana na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), ilishatoa tahadhari kuhusiana na mvua zinazoendelea kunyesha sasa.

Aidha Dkt. John Mboya amewapongeza watendaji wote wa TARURA na TANROAD kwa kuhakikisha wanachukua hatua za haraka licha ya ugumu wa kufika baadhi ya maeneo ambayo yameathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha mpaka sasa.

  

Naye, Diwani wa Kata ya Mpera Mhe. Haruna Msoga amesema kuwa, mpaka sasa hakuna maafa yaliotokea hususani vifo na nyumba kubomoka licha ya nyumba nyingi kuzingilwa na maji kutokana na mvua iliyonyesha asubuhi ya leo.  

 

Kwa upande mwingine Diwani wa Kata ya Malolo Mhe. Zinduna Kambangwa ameiomba Serikali kuhimarisha miundombinu ambayo tayari imeshajengwa ili kuhakikisha miundombinu hiyo inazuia maji kusambaa kwenye makazi ya watu.

 

Naye. Meneja wa TARURA Wilaya ya Tabora Muhandisi Subira Vicent Manyama amesema, ni kweli tumeona maji yameleta athari kwa wananchi na sisi kama TARURA tulishachukua hatua kwa kuleta mtambo wa kutengeneza barabara, lakini kutokana na hali ilivyo ilishindikana na kusitisha zoezi hilo, na sisi kama TARURA mpango uliopo ni kujenga kingo ambazo zitazuia maji kusambaa kwa watu.


Meneja wa TARURA Mkoa wa Tabora Muhandisi Lusako Kilembe amesema kuwa , Changamoto ya mitaro tayari tumeshatafuta suluhisho la kudumu  na tayari serikali kupitia wizara ya TAMISEMI imeshaanza kupokea maoni kutoka kwa mameneja wa TARURA ili kukabiliana na changamoto hii. Lakini kwa sasa tumeshaanza kuyaondoa maji haya kama moja ya hatua za awali ili kuzuia maji kusambaa kwenye makazi ya watu.



Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa