Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora Dkt. John Mboya ameliomba shirika la Global Fund kutoa kipaumbele kwa Mkoa wa Tabora kwenye miradi ya maendeleo ya sekta ya Afya.
Ameyasema hayo leo June 9, 2023 alipokutana na wajumbe wa ukaguzi wa miradi inayotekelezwa na fedha ya Global Fund Mkoani Tabora. Ambapo alibainisha sababu kuu tatu (3) za Mkoa Wa Tabora kupewa kipaumbele ambazo ni Mkoa wa Tabora bado unakabiriwa na changamoto kwenye sekta ya afya, idadi kubwa ya watoto wanaozaliwa kila siku na mwisho Mkoa huu kwa eneo ni mkubwa sana.
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa