• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

RC AKABIDHI MIKOPO YA SHILINGI MILIONI 142 KWA VIKUNDI 29 VYA MANISPAA YA TABORA

Posted on: December 2nd, 2020

MKUU wa Mkoa wa Tabora Dkt. Philemon Sengati amekabidhi hundi yenye thamani shilingi milioni 142 kwa vikundi 29 vya wanawake na vijana wa Manispaa ya Tabora.

Mikopo imetolewa kwa vikundi hivyo ikiwa ni sehemu ya Manispaa ya Tabora kutimiza takwa la Sheria ya Fedha za Serikali za Mitaa yam waka 2019 ya kutengwa kwa asilimia 10 kwa ajili ya wanawake, vijana na walemavu.

Dkt. Sengati amekabidhi mikopo hiyo  katika hafla fupi iliyofanyika katika Viwanja vya nane nane.

Alivitaka vikundi vilivyokabidhi kutumia fedha hizo katika miradi na malengo waliyoombea mikopo na sio katika shughuli nyingine zisizokuwa za maendeleo.

Dkt. Sengati aliutaka Uongozi wa Manispaa kuandaa mpango wa kutoa elimu ya usimamizi wa fedha na kufikiri kimkakati kwa wajasiriamali kabla ya kuwapa mikopo ili waweze kutumia fedha hizo kwa ajili ya kujiletea maendeleo.

Aidha Mkuu huyo wa Mkoa aliutaka uongozi wa Manispaa ya Tabora kutoa mikopo kwa uwazi bila ucheleweshaji na rushwa kwa vikundi vinavyoomba.

Dkt. Sengati aliongeza sanjari hilo ni fedha wakatoa fedha nyingi na vifaa kwa vikundi ili matokeo yake yaweze kuleta tija kwao na Mkoa kwa ujumla.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora Christina Bunini alisema katika mwaka wa fedha unaoendelea wametenga kiasi cha shilingi milioni 445.1 kwa ajili mikopo ya vikundi kama sheria inavyotaka.

Alisema kati ya fedha hizo wamepanga kutoa kiasi cha shilingi milioni 178 kwa wanawake, milioni 178 kwa vijana na milioni 89 kwa watu wenye ulemavu.

Bunini aliongeza hadi hivi wameshapokea maombi mengi zaidi ya fedha ya fedha iliyotengwa katika bajeti.

Alisema toka Julai hadi Oktoba mwaka huu wameshapokea maombi ya mikopo kwa vikundi 79 ambayo thamani yake ni sawa na  shilingi milioni 566.5.

Bunini alisema kati ya fedha hizo vikundi 61 vya wanawake vimeomba kiasi cha shilingi milioni 463, vijana 12 vimeomba shilingi 76 na watu wenye ulemavu 6 vimeomba shilingi milioni 27.

Naye Afisa Maendeleo ya Jamii Manispaa ya Tabora Tumaini Mgaya alisema hadi hivi sasa Manispaa ya Tabora imekwisha kutoa kiasi cha shilingi milioni 211 kwa vikundi 41.

Alisema kuwa pamoja na jitihada hizo kuna baadhi ya vikundi vimekuwa havirejeshi mikopo kwa wakati na kusababisha wanavikundi wengine wanaohitaji kuchelewa kupata fedha.

Alisema miongoni mwa vikundi ambavyo vinadaiwa ni vya vijana na watu wenye ulemavu na kuna baadhi ya vikundi vimekuwa vikianzisha miradi  tofauti na ile waliyombea mikopo.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa