• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

RC AWAAGIZA MA-DC KUSIMAMIA UKUSANYAJI MAPATO

Posted on: June 23rd, 2021

RC AWAAGIZA MA-DC KUSIMAMIA UKUSANYAJI MAPATO YAFIKE ASILIMIA 100 

MKUU wa Mkoa wa Tabora Dkt. Batilda Buriani amewaagiza Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Tabora wameagizwa kusimamia ukusanyaji wa Mapato ya Serikali ili Halmashauri zilizopo katika maeneo ya utawala zifikishe asilimia 100 ya ukusanyaji wa mapato ya ndani.

Alisema hatua hiyo itafanikiwa ikiwa watazuia mianya ya upoteaji wa mapato ya ndani kwa kutumia mashine za kukusanyia mapato (POS) na kuhakikisha wakusanyaji wa mapato wawe watu wenye maadili na nidhamu

Balozi Dkt. Batilida alisema hayo jana katika hafla fupi ya ya kuwaapisha Wakuu wa Wilaya ya Kaliua na Tabora.

Alisema dhamira ya Serikali ni kuwa Halmashauri zote zinapaswa kujiendesha zenyewe bila ruzuku toka Serikali Kuu kuanzia mwaka 2025 na njia pekee ya kufika huko ni kwa Watendaji wa Halmashauri zote wakabuni vyanzo vipya vya mapato.

Balozi Dkt. Batilida alisema zoezi la ukusanyaji wa mapato ya ndani ya Halmashauri lazima lishirikishe watu wote Watendaji wa Kata, Vijiji, Maafisa Tarafa na Waheshimiwa Madiwani

Aidha Mkuu huyo wa Mkoa wa Tabora alisema kwa mwaka wa fedha 2020/21 Halmashauri za Mkoa wa Tabora zilikadiriwa kukusanya mapato ya ndani kiasi cha Bilioni 25.6 lakini hadi kufikia tarehe 21 Juni, 2021 kiasi cha Bilioni 18.4 sawa na 71.5% zimekusanywa.

Alisema  ukusanyaji wa mapato ya ndani ya Halmashauri Mkoa wa Tabora sio mzuri kwa kuwa huko wastani wa Kitaifa ambayo ni asilimia 94.

Katika hatua nyingine Mkuu huyo wa Mkoa wa Tabora aliwaagiza Wakuu wa Wilaya kuhakikisha wanasimia Watendaji wa Halmashauri ili waweze kujibu hoja zote walizotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali( CAG).

Alisema Hamashauri nne  Mkoani hapa zimepata hati chafu toka kwa  CAG na  hivyo ni jukumu lao kuhakikisha makusanyo yote yanapitia mfumo wa Kielekitroniki  kwa ajili ya kudhibiti mapato na Matumizi yao.

Aidha Mkuu huyo wa Mkoa aliwataka Wakuu hao wa Wilaya wakawahudumie wananchi na kuhakikisha wanatatua kero zote zinazowakabili na kusimamia usalama ili Mkoa uendelee kuwa salama.

Kwa upande wa Wakuu wa Wilaya zote saba waliahidi kutoa ushirikiano na kumsaidia Mkuu wa Mkoa wa Tabora kutekeleza majukumu yake ya kuuuendeleza Mkoa na kuwaletea maendeleo wananchi  ili kudhibitisha imani kubwa aliyopa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Katika halfa hiyo Dkt. Batilda aliwaapisha Wakuu wa Wilaya ya Kaliua Dkt. Yahya Ismail wa Wilaya ya Tabora  na Paulo Matiko wa Wilaya ya Kaliua.

MWISHO.


Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa