• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

RC BATILDA AKUTANA NA BOMA FOUNDATION

Posted on: February 2nd, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian amekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa Taasisi ya Boma Foundation iliyo na makao makuu yake Mkoani Dar Es Salaam kwa lengo la kujadiliana miradi mbalimbali ya kimaendeleo  mkoani Tabora.

Mhe. Mkuu wa Mkoa ameushukuru uongozi mzima wa Boma Foundation kwa kuchagua mkoa wa Tabora kuwa miongoni mwa mikoa ambayo itafaidika na uwekezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo itakayoanzishwa na taasisi hiyo.

Na kuongeza kuwa, Mkoa wa Tabora kwa kushirikiana na wataalamu waliopo katika halmashauri zote, watahakikisha wanaweka mazingira mazuri na wezeshi kwa miradi yote itakayoanzishwa na taasisi hiyo.

Aidha Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa amebainisha fursa za uwekezaji zilizopo mkoani Tabora zikiwemo, hususani kilimo cha pamba, ufugaji wa nyuki na uwekezaji upande malazi hasa ujenzi wa hotel za kisasa.

Naye Ndugu. Omari Issa  Mwenyekiti wa Boma Foundation amemshukuru Mkuu wa Mkoa wa Tabora kwa kuweka mazingira mazuri kwa taasisi zenye uhitaji wa kuwekeza mkoani humo kwani mkoa wa Tabora umebarikiwa kuwa na fursa nyingi kwa kuzingatia jiografia ya mkoa huo. Na kumuahidi Mkuu wa mkoa kutumia watalaamu waliopo kwenye taasisi hiyo kwa kutumia uzoefu na ujuzi walionao kuanzisha miradi ya maendeleo.

Kwa niaba ya wataalamu Mkoa wa Tabora,  Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora Ndugu. Elias Kayandabila amehaidi kutoa ushirikiano kwa taasisi ya Boma Foundation kwa kuweka mazingira wezeshi kwa kushirikiana na wataalamu waliopo kwenye halmashauri ili kuhakikisha miradi hiyo inakuwa na tija kwa wananchi wa mkoa wa Tabora.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa