• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

RC TABORA AAGIZA MRADI WA KIJANA JITAMBUE USAIDIE KUONGEZA IDADI WATOTO WA KIKE WANAOTIMIZA NDOTO ZAO ZA KUPATA ELIMU

Posted on: October 4th, 2021

MKUU wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Buriani amewagiza Mradi wa Kijana Jitambue kupelekwa katika shule nyingi kwa ajili ya kuwasaidia watoto wa kike kukabiliana na vikwazo vinavyokatisha ndoto zao za kupata elimu.

Alisema mradi huo unatakiwa kupanua wigo kwa kuwaweza watoto wa kike kutimiza maono yao kwa kushirikiana na Serikali katika ujenzi wa Mabweni kwa ajili yao ili  kuepuka hatari ya kupata ujauzito.

Balozi Dkt. Batilda alitoa kauli hiyo jana wakati akifungua mradi wa kuboresha elimu ndani na nje ya mfumo rasmi wa shule ujulikanao kama Kijana jitambue unaotekezwa kwenye Halmashauri za Wilaya Nane za Mikoa ya Tabora na Shinyanga.

Alisema changamoto inayokwamisha ndoto za baadhi ya watoto kike katika Mikoa  ya Tabora na Shinyanga ni mimba za utotoni ambazo wanazipata kutokana na kusafiri umbali mrefu kutoka kwao hadi shuleni na kupita katika maeneo mengine ambayo ni hatarishi.

Balozi Dkt. Batilda alisema msaada mkubwa kwao ni kuwajengea Mabweni ili waweze kuishi katika maeneo ya shule na kuwa na mazingira mazuri ya kusoma na kujifunza.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Philemon Sengati aliwashukuru Shirika la Care International kwa kuweza kushirikiana na Serikali katika utoaji wa mafunzo ya stadi za ujasiriamali, ufundi wa awali kama vile useremala, uashi, ushonaji na uchomeleaji kwa vijana walio nje ya mfumo rasmi wa shule.

Alisema hiyo ni fursa adhimu kwa vijana hao ambao itasaidia kuondokana na tatizo la ukosefu wa ajira ambapo baadhi yao wasingepata mafunzo hayo wangejihusisha na vitendo vya wizi, uporaji wa mali za watu , uvutaji bangi na mambo mengine yasiyofaa  katika jamii.

Dkt. Sengati alisema maendeleo yanapswa kushirikisha wadau wote wakiwemo Washirika wa maendeleo, wananchi na Serikali.

Mkurugenzi Mkazi wa Programu  ya Shirika la Care International Haika Mtui alisema kuwa mradi wa  kijana Jitambue unatekelezwa katika Halmashauri za Wilaya nane kutoka Tabora na Shinyanga.

Alisema mradi huo ambao umelenga kuongeza usawa katika upatikanaji wa elimu kwa vijana hasa wasichana ambao wanaishi katika mazingira magumu umeanza mwaka huu utamalizika mwaka 2023 na utagharimu kiasi cha bilioni 2.3.

Haika alisema mradi huo utawajengea uwezo kwa vijana na hasa watoto wa kike kutimiza malengo ya kujisimia katika maisha yao na kuwa na taarifa sahihi za afya ya uzazi.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa