• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

RC TABORA AAGIZA WANAOCHOMA MOTO KUKAMATWA

Posted on: July 26th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Buriani  amewaagiza Wakuu  wa Wilaya kuhakikisha kuwa wanawakamata watu watakaobainika kuchoma moto na kusababisha uharibifu katika mistu ya kupanda na ile ya asili katika maeneo mbalimbali.

Hali imekuwa ikisababisha hasara kubwa kwenye mistu na mimea ya Taasisi na watu binafsi.

Balozi Dkt. Batilda alitoa agizo hilo leo wakati akipokuwa na ziara ya kikazi katika Kituo cha Utafiti wa Kilimo –Tumbi cha Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania(TARI) iliyokuwa na lengo la kuwahamasisha kuzalisha kwa wingi mbegu bora za Alizeti.

Amesema tabia ya uchomaji moto ovyo katika maeneo yote ya Mkoa wa Tabora kwa kisingizio cha kuandaa mashamba na wengine kutaka majani mapya yaote kwa ajili ya mifugo haikubaliki.

Balozi Dkt. Batilda amewataka Wakuu wa Wilaya zote na Watendaji kuhakikisha wanawakamata na  kuchukuliwa hatua kali ili iwe fundisho kwa wenzake wenye tabia chafu ya kuchoma moto ya kuteketeza mistu na miti inayoendelea kupandwa.

Amesema ni vema Sheria Ndogo zilizopo zitumikea kuwaadhibu wale wote watakaokamatwa kwa makosa ya kuchoma mistu moto.

Mkuu huyo wa Mkoa wa Tabora alilazimika kutoa agizo hilo haraka mara baada ya watu wasiofahamika kuchoma moto miti iliyokuwa imepanda katika barabara inayoelekea  Chuo cha Musoma Utalii, eneo la Cheyo na eneo Malolo mjini Tabora.

Alisema kuwa haiwezekana mtu anachoma halafu viongozi wa mitaa au vitongoji wanasema hawawajui na kuongeza kuwa huo ni uzembe wa hali ya juu.

Bw. Mwanri alisema kuwa yeye atapambana na Mkuu wa Wilaya ambaye uharibifu utakea katika eneo lake na kushindwa kuwasimamia wa chini ili kukomesha tabia hiyo.

 “Haiwezekani moto unachomwa katika maeneo yenu , mnashindwa kutambua mtu aliyeendesha hujuma hiyo…lazima panapotokea moto wahusika wasakwe na kuadhibu kwa mujibu wa Sheria” amesisitiza Mkuu huyo wa Mkoa.

Amesema kuwa inasikitisha kuona wananchi na wadau mbalimbali wamejitokeza kupanda miti kwa wingi kisha wanatokea wachache wanachoma moto kwa kisingizio cha kusafisha mazingira au kutaka majani mapya kwa ajili ya mifugo.

Balozi Dkt. Batilda amesema wananchi lazima watambue miti ya asili na ile ya kupandwa ni kwa ajili ya faida ya wote na kuwaomba kusaidia kuwafichua watu wote wanaochoma miti kwa visingizio ambavyo sio vya msingi.

Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo –Tumbi Dkt . Emmanuel Mrema amesema uchomaji wa moto ovyo katika eneo la Kituo umekuwa ukiwasababishia hasara kubwa katika mimea mbalimbali wanaendeshea utafiti.

Amesema katika siku za hivi karibu wamepata hasara ya kupoteza miche ya miti ya miembe ipatayo elfu 6 kutokana na watu wasiojulikana kuchoma moto.

Dtk. Mrema amemuomba Mkuu huyo wa Mkoa kusaidia katika utatuzi wa tatizo hilo amabalo limekuwa sugu Mkoani humo.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa