Leo Julai 13, 2023, Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt.Batilda Salha Burian akikagua jengo la RCH (Mama Na Mtoto) lililopo katika Zahanati ya Miguwa Wilayani Nzega ambalo limejengwa kwa nguvu ya wananchi( Shilingi Milioni 7.2) na fedha kutoka katika mapato ya ndani ya Halmshauri ya Mji wa Nzega ( Shilingi Milioni 100).
Mradi huu ulilenga kujenga wodi RCH ili kuondoa mrundikano wa huduma kwa wateja (wananchi) kutokana na jengo lililopo kutokidhi, kutokana na huduma zinazotolewa.
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa