• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

RC TABORA AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA USESULA HADI KOGA

Posted on: August 18th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Buriani amekagua maendeleo ya ujenzi wa barabara  ya Usesula hadi Koga yenye urefu wa Kilometa 132 inayounganisha Mkoa wa Tabora na Katavi.

Ukaguzi huo umefanyika jana kwa lengo la kuangalia maendeleo ya ujenzi wa vipande mbalimbali vya barabara hiyo.

Aliwataka Wakandarasi kuongeza kasi kwa kuwa barabara hiyo ni muhimu kwa maendeleo ya Mkoa wa Tabora na Katavi.

Balozi Dkt. Batilda alisema kukamilika kwa barabara hiyo kutatoa fursa kwa wakulima na wafanyabiashara kuyafikisha mazao katika masoko bila matatizo.

Aidha Mkuu huyo wa Mkoa wa Tabora aliwaonya wananchi wenye tabia kuiba alama  za barabara kuacha kwa kuwa Serikali ikawakamata itawachukulia hatua kali za kisheria.

Balozi Dkt. Batilda aliwataka wakazi walipo kando kando ya barabara zote kutoa taarifa kwa watu ambao wamekuwa wakiiba alama za barabara.

Akisoma taarifa ya ujenzi, Mhandisi Nurdin Muhungo amesema Mradi huo wa Ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami umeghalimu shilingi bilioni 158.8.

Alisema ujenzi wake umefikia asilimia 87.2 na kuongeza kuwa barabara hiyo inatarajiwa kukamilika ndani ya mwaka huu .

Naye Mkuu wa Kitengo cha Matengenezo ya Barabara na Madaraja TANROADS Mkoa wa Tabora Raphael Mlimaji aliiomba Serikali kuwachukulia hatua watu wanaong’oa alama za barabara kwa kuwa wamesabisha hasara kwa Serikali.

Alisema baadhi ya ajali zimetokana na kung’olewa kwa alama za barabara na kuwafanya madreva kutokuwa na uelewa wa jinsi barabara ilivyo.

Katika hatua nyingine Mkuu wa Mkoa wa Tabora akizungumza na wakazi wa  Kata ya  Ipole Wilayani Sikonge amewataka kuendelea na taratibu za  kujikinga na UVIKO 19 na kuwasisitiza kuchanja wananchi walio katika makundi maalumu ya viapumbele kwa walio hiari kuchanja.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MHE. CHACHA AIPONGEZA TIMU YA UMISSETA MKOA KWA KUSHIKA NAFASI YA TATU KITAIFA

    July 01, 2025
  • RC. CHA AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WAPYA, WAAHIDI KUFANYA KAZI KWA BIDII NA UADILIFU.

    July 01, 2025
  • TABORA: MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YATAKIWA KUZINGATIA SHERIA NA MAADILI YA NCHI

    June 26, 2025
  • MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA YAENDESHA MAFUNZO MAALUM YA MATUMIZI YA MFUMO WA PEPMIS KWA WATUMISHI WA UMMA MKOA WA TABORA

    June 23, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa