Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian amemkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mhe. Louis Bura jumla ya madawati mia mbili na hamsini (250) yaliotolewa na Banki ya NMB kanda ya magharibi, ambayo yatakwenda kutumika katika Shule ya Msingi Magereza iliyopo Manispaa ya Tabora.
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa