• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

RC TABORA ARIDHISHWA NA USIMAMIZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA NZEGA

Posted on: February 14th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian ameridhishwa na usimamizi wa miradi inayotekelezwa ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Nzega ikiwemo mradi wa ujenzi wa makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Nzega sambamba na mradi wa ujenzi wa Hospitali mpya ya Wilaya. Ameyasema hayo leo Februari 14, 2024 alipofanya ziara yake wilayani Nzega na kujionea maendeleo ya miradi hiyo.

  

Mhe. Mkuu wa Mkoa amewapongeza wasimamizi wa miradi hiyo ambayo kwa hakika imeonyesha thamani ya  fedha za serikali kwa kiasi kikubwa na kwamba kukamilika kwa majengo hayo kutaongeza imani kwa wananchi juu ya utendaji kazi wa watumishi wa serikali wilayani humo.

“nipende kutoa pongezi zangu kwa wote waliosimamia miradi hii ambayo inakwenda kuongoza imani kwa wananchi kwa kuwa wanapata huduma pasipo kusafiri umbali mrefu” alisema Mhe. Mkuu wa Mkoa.



Sambamba na hilo, Mhe. Batilda ametoa wito kwa mkurugenzi na timu yake kubuni miradi mbalimbali ya maendeleo ili kuchangamkia fursa mbalimbali zilizopo maeneo hayo kutokana na uwepo wa makao makuu ya halmashauri hiyo.

“nitoe wito kwa mkurugenzi na watendaji wako kuhakikisha mnabuni vyanzo mbalimbali vya mapato na katumia fursa mbalimbali zilizopo kutokana na uwepo wa ofisi hii ambayo ina wafanyakazi ambao watahitaji huduma mbalimbali” alisema Mhe. Batilda



Aidha Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa ametoa muda wa wiki mbili kwa ajili kufanya marekebisho madogo madogo yaliopo katika baadhi ya majengo na kutoa wito kwa wasimamizi kufanya marekebisho hayo pasipo kusubiri viongozi wafike. 

“msisubiri mpaka sisi tuje hapa ndio tutoe maelekezo ya kufanya marekebisho, na hivyo natoa wiki mbili za kufanya marekebisho yote ambayo yamejitokeza kwenye majengo yote”  alisema Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa 



Naye Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega Muhandisi Modest Apolinary ameeleza umuhimu wa kukamilika kwa miradi hiyo ikiwemo kusogeza na kuboresha huduma kwa jamii sambamba na  kuweka mazingira mazuri kwa watendaji kuwahudumia wananchi.  



Kwa upande wa Muhandisi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora, Muhandisi Faustine Talai amemuhakikishia mkuu wa mkoa kusimamia na kutekeleza maagizo na mapendekezo yote yaliotolewa na kukamilisha miradi yote kwa wakati na kwa viwango vinavyotakiwa. 

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian alifika wilayani Nzega na kutembelea mradi wa makao makuu ya halmashauri ya wilaya ya Nzega pamoja na majengo mapya ya Hospitali ya Wilaya ya Nzega ambapo ameridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi hiyo ambapo Halmashauri ya Wilaya ya Nzega ilipokea fedha kwa awamu 3 kwa ajili ya ujenzi wa jengo hilo, katika mwaka wa Fedha 2020/2021 kiasi cha Tsh. 1,000,000,000, mwaka wa fedha 2021/2022 ilipokea tena kiasi cha Tsh. 1,000,000,000 na mwaka 2022/2023 ilipokea Tsh. 1,000,000,000 na kupelekea Jumla ya Fedha za Ujenzi wa Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Nzega kuwa Tsh. 3,000,000,000 (Bilioni tatu tu) kutoka Serikali kuu.



Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa