• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

RC TABORA ATAKA MAJINA YA WANAOJIUSISHA NA BIASHARA HARAMU YA MAZAO WATAJWE

Posted on: March 4th, 2020

MRAJISI Msaidizi wa Ushirika Mkoa  wa Tabora ameagiza kupeleka na kutaja majina ya watumishi na viongozi wanajihusisha na biashara haramu ya mazao ya biashara ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yao.

Agizo hilo lilitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri wakati wa Kikao cha Ushauri cha Mkoa(RCC)  wa Tabora cha kupitia mapendekezo ya bajeti ya 2020/21.

Alisema vitendo hivyo vinawadhofisha wakulima na kuwafanya kuendelea kuwa masikini na Halmashauri za Wilaya zinazolima mazao hao kupata mapato kidogo yanatoka na ushuru wa mazao.

Mwanri alisema haiwezekani kila wakati Ofisi ya Mrajisi Msaidizi inatoa taarifa kuwa kuna baadhi ya viongozi wa serikali, wa siasa na Vyama vya Ushirika  wamejiingiza kwenye biashara ya vishada na uuzaji wa pembejeo bila kuwataja majina.

Alisema kuwa Serikali kupitia Waziri Mkuu inashatoa maelekezo kuwa mtu akayeruhusiwa kuuza tumbaku ni yule ambaye ana shamba la tumbaku na zao hilo litauzwa kupitia ushirika.

Aidha Kamati hiyo ya ushauri ya Mkoa wa Tabora imeviomba Vyombo vya Usalama ikiwemo Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuchunguza kuwafuatilia wanajihusiha na vitendo hivyo ili wachukuliwe hatua za kisheria.

Ilisema vitendo hivyo ni kosa ikiwemo la rushwa na udanganyifu kwa ajili ya kumnyonya mkulima na kuibia Serikali mapato yake yanatokana na ushuru wa mazao.

Katibu Tawala Mkoa wa Tabora Msalika Makungu alisema kuna baadhi ya viongozi wanashiriki katika biashara chafu ya uuzaji na ukopeshaji wa wakulima fedha kwa riba kubwa na kuwafanya kuendelea kuwa masikini.

Alisema kuna baadhi ya wakulima wamekuwa wakikopesha pembejeo na fedha kwa mara mbili ya bei halali kwa madai kuwa pindi atakapovuna tumbaku ni lazima ampe sehemu ya tumbaku kama malipo ya deni.

Makungu alisema vitendo hivyo vimefanya wakulima wengi wakati wa kuuza tumbaku yao kubaki na fedha kidogo ikiwa sehemu kubwa inaenda katika deni.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa