• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

RC TABORA AWAHIMIZI WATUMISHI WA OFISI YAKE NA TAASISI NYINGINE ZA SERIKALI KUTUMIA LUGHA YENYE STAHA KWA WATEJA

Posted on: June 25th, 2021

RC TABORA AWAHIMIZI  WATUMISHI WA OFISI YAKE  NA TAASISI NYINGINE ZA SERIKALI KUTUMIA LUGHA YENYE STAHA KWA WATEJA 

MKUU wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Buriani amewataka watumishi wa Ofisi yake na Taasisi za umma kutumia lugha yenye staha baina yao wenyewe  na Wananchi wanapokuja kupata huduma.

Alisema lugha nzuri ni mojawapo ya tiba na suluhisho la matatizo yanayowakabili Wananchi na inasaidia kutoa huduma bora.

Balozi Dkt. Batilda ametoa kauli hiyo leo wakati wa kikao kazi na watumishi wa Ofisi yake na wale wa Taasisi za umma ambazo ziko katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.

Alisema lazima Ofisi ya Mkuu wa Mkoa iwe kitovu cha utoaji wa huduma bora kwa Wateja na Taasisi nyingine zijifunze toka kwao.

Aidha Balozi Dkt. Batilda amesisitiza nidhamu na uadilifu katika mazingira ya kazi na nje ya kazi ,  ubunifu kwenye kazi, bidii . umoja na mshikamano na weledi ili kuacha alama, na kuacha kufanya kazi kwa mazoea.

Aliongeza kila mtumishi lazima awe na Mpango kazi unaoonesha majukumu yake  namna atakavyotekeleza kila siku.

Balozi Dkt. Batilda amewataka Watumishi wa Ofisi yake kuzisimamia kwa karibu na kuzishauri Halmashauri za Mkoa wa Tabora katika Mipango yao ya Maendeleo na kuongeza ukusanyaji wa mapato.

Aliongeza Dawati la Malalamiko liendelee kusikiliza na kutatua kero na malalamiko ya Wananchi kwa mujibu wa Sheria na taratibu.

Katika hatua nyingine amewataka Watumishi wa Umma na wakazi wa Mkoa wa Tabora kuendelea kuchukua tahadhari za Ugonjwa wa COVID 19 kama inavyoshauriwa na Wataalamu wa Afya.

Alisema kwa sasa Dunia inakabiliwa na Wimbi la Tatu la ugonjwa huo ambapo kila mmoja anafahamu hilo kinachotakiwa ni kuchukua tahadhari zote kwa kuvaa barakoa kwenye maeneo yenye mikusanyiko ya watu, kunawa mikono kwa sabuni na kwa kutumia maji tililika na kupeana nafasi.

Mwisho

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa