Hotuba ya Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020-2025 kwa kipindi cha miezi sita (6) Kuanzia Januari-Juni mwaka 2023 aliyoiwasilisha katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Tabora leo Julai 21,2023
Hotuba hii ya utekelezaji imegusa Sekta mbalimbali ambazo kwa kipindi cha Miezi sita Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametoa fedha nyingi ambazo zimetumika katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2020-2025. Sekta hizo ni kama ifuatavyo.
Sekta ya Afya
Sekta ya Maji
Sekta ya Miundombinu
Sekta ya Elimu
Sekta ya Nishati
Sekta ya Kilimo
Sekta ya Uvuvi na mifugo
Sekta ya Michezo na Utamaduni.
Hizo ndio sekta ambazo kwa muda wa Miezi Sita Mkoa wa Tabora umefanikiwa kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ambayo ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025, ambapo wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Tabora waliipokea, wakaijadili na kuikubali kwa asilimia 100.
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa