• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

RC TABORA AWATAKA WAKULIMA KUZINGATIA KALENDA YA KILIMO KWA AJILI YA KUPATA MAZAO BORA

Posted on: November 27th, 2020

WAKULIMA Mkoani Tabora wahimizwa kulima kwa kuzingatia kanuni za kilimo bora na kuzingatia Kalenda ya kilimo ili waweze kupata mazao bora ambayo yatawawezesha kuwaletea maendeleo yao na Taifa kwa ujumla.

Kauli hiyo imetolewa  na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Dkt. Philemon Sengati wakati wa uzinduzi wa msimu wa kilimo uliyofanyika wilayani Igunga.

Alisema kalenda ya kilimo inawataka wakulima wawe wameshalima na kupanda mazao mbalimbali ambayo hayahimili ukame kabla ya tarehe 15 ya Desemba ili mavuno yaweze kuwa mazuri.

Mkuu huyo wa Mkoa alisisitiza kwa wakulima wote ambao hawajandaa mashamba yao kufanya hivyo mapema ili waweze kulima kwa wakati na kupanda mbegu bora ili kupata mazao bora.

Dkt. Sengati aliwataka Maofisa Ugani kutumia muda huu kupeleka elimu hiyo na kuzingatia kalenda ya kilimo na kanuni za kilimo kwa wakulima ili uzalishaji wa mazao mbalimbali mkoani humo uweze kuongezeka na kuwapaisha kiuchumi wananchi.

“ Maofisa Kilimo na Maafisa ugani watoke maofisini na  kwenda kwa wakulima kuwafundisha jinsi ya kulima kilimo kilicho bora na matumizi ya mbegu bora na mbolea kwa ajili ya kuinua uzalishaji wa mazao yao” aliagiza

Alisema uzalishaji wa mazao bora na kwa wingi utawawezesha wakulima nao kushiriki kikamilifu katika kushiriki katika uchumi wa kati na wa viwanda wakati Tanzania inaelekea kwenye uchumi wa juu.

“Bila kulima hatuwezi kuwa maendeleo ya kweli na tunapokuwa na maendeleo ya kweli ina maana tunaendelea kuwa na amani …maeneo mengi yenye umaskini yanagubikwa sana na migogoro.. wakulima limeni kwa wingi ili muwe na uchumi mpana” alisisitiza.

Dkt. Sengati aliwataka kuunga mkono falsafa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ya hapa kazi kwa kupanua kilimo kupitia matumizi ya wanyama kazi na matrekta ili uzalishaji uongezeke. 

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa