• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

RC TABORA AZINDUA MRADI WA UGAWAJI BURE TANI 12,500 ZA MBOLEA KWA WAKULIMA WADOGO NCHINI

Posted on: September 7th, 2020

RC TABORA AZINDUA MRADI WA UGAWAJI  BURE TANI 12,500 ZA MBOLEA KWA WAKULIMA WADOGO NCHINI

MKUU wa Mkoa wa Tabora Dkt. Philemon Sengati amezindua usambazaji mbolea bure unaojulikana kama ‘Action Africa’ ambapo itatoa zaidi ya tani 12,500 za aina ya YaraMila Cereal yenye thamani ya shilingi bilioni 16.5.

Uzinduzi huo umefanyika wilayani Nzega ambapo jumla ya wakulima wadogo 83,000 nchini Tanzania watanufaika kwa kupata mbolea hiyo bila malipo.

Alisema Serikali imeamua kukifanya kilimo kuwa cha kibiashara na kuwaletea maendeleo yao wenyewe na kufurahia shughuli ya kilimo.

Dkt. Sengati alitoa wito kwa wakulima wadogo wanajisajili ili waweze kupata mbolea kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa mahindi na mpunga.

Alisema wakulima ambao watanufaika ma mradi huo wataweza kuongeza uzalishaji wa mahindi katika ekari moja kutoka maguni 2 na kupata magunia 25.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Yara Tanzania Winston Odhiambo alisema chini ya mpango huo, mkulima atahitajika kujisajili kupitia namba *149*46*16# ambapo kitambulisho cha mpigakura na cha taifa kitatumika katika kukamilisha usajili.

Odhiambo alisema lengo la mradi huo ni kukuza uzalishaji wa mahindi na mpunga ili kuhakikisha Tanzania inakuwa na chakula kingi na hivyo kuwa na usalama wa chakula.

Alisema chini ya mpango huo watagawa mifuko mitatu kwa ajili ya ekari moja ya mahindi na mifuko miwili kwa ajili ya ekari moja ya mpunga.

Naye Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe alisema Serikali haitasita kumkamata na kumshitaki kama muhujumu uchumi  Msambazaji au mtu atakayekutwa akiuza mbolea hizo ambazo zinapaswa kutolewa bure kwa wakulima wadogo.

Alisema lengo mpango pamoja na kuongeza usalama wa chakula nchini ni pamoja na kuwainua wakulima wadogo ili wakuze kilimo chao kwa nia ya kuwa na uwezo ya kujinunulia mbolea wao wenyewe.

Bashe aliongeza kuwa chini ya mpango huo wakulima pia watapata punguzo la mbegu za mahindi ambapo watanunua kwa shilingi 5500/= badala ya shilingi 12,500/- kwa mfuko wa kilo mbili.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Nzega Advera Bulimba alisema kuwa zaidi ya wakulima wadogo 4000 wameshajisali na wanakusudia kufika wakulima 10,000 wilayani humo

MWISHO

 

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MHE. CHACHA AIPONGEZA TIMU YA UMISSETA MKOA KWA KUSHIKA NAFASI YA TATU KITAIFA

    July 01, 2025
  • RC. CHA AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WAPYA, WAAHIDI KUFANYA KAZI KWA BIDII NA UADILIFU.

    July 01, 2025
  • TABORA: MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YATAKIWA KUZINGATIA SHERIA NA MAADILI YA NCHI

    June 26, 2025
  • MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA YAENDESHA MAFUNZO MAALUM YA MATUMIZI YA MFUMO WA PEPMIS KWA WATUMISHI WA UMMA MKOA WA TABORA

    June 23, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa