• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

RC TABORA “CHANGAMKIENI FURSA ZA MIRADI ILIYOZINDULIWA NA MHE.RAIS”

Posted on: October 20th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian amewataka Wanatabora na Watanzania kwa ujumla kuchangamkia fursa za miradi ambayo imezinduliwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipofanya ziara yake Mkoani Tabora. Ameyasema hayo leo Oktoba 20, 2023 alipokutana na waandishi wa Habari kumshukuru Ofisini kwake.

 

“Napenda kutoa wito kwa wanatabora na watanzania wote kuchangamkia fursa kwenye miradi ambayo Rais wetu mpendwa ameizindua alipofanya ziara yake Mkoani Tabora”  

Dkt. Batilda ameeleza kuwa, tayari Mkoa umeshaweka mikakati kuhakikisha mradi wa chuo cha VETA uliopo Wilayani Igunga unawafaidisha vijana kupitia mipango mbalimbali itakayowekwa ili kuwapa kipaumbele vijana.

 

“Muheshimiwa Rais ameelekeza kuwasimamia vijana, na sisi kama viongozi wa Mkoa tutahakikisha miradi iliyozinduliwa inawafaidisha vijana kupitia program mbalimbali ikiwemo Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT)”

 

Kwa upande mwingine, Mkuu wa mkoa amekiri Mkoa kuwa na changamoto ya vijana kutochangamkia fursa zinazotolewa kwa vijana hususani kwenye mafunzo ya ufundi na kuwataka vijana kuchangamkia fursa hizo.

 

“Kunzia Januari chuo kile ambacho Muheshimiwa Rais amekizindua kitaanza kazi, kitaanza kusomesha masuala ya ufundi kwa kozi fupi fupi na kozi ndefu na kuna mabweni pale ya Watoto wa kile na Watoto wa kiume, na naomba fursa hii tuanze kuipata watu wa Tabora na nitashangaa kuona watu wa mikoa mingine wakianza kufaidika” Alisema Mkuu wa Mkoa

 

Sambamba na hilo, Mkuu wa Mkoa amemshukuru Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa ziara yake Mkoani Tabora na kuzindua miradi mikubwa ambayo kwa hakika imekuwa na faida kubwa sana kwa Wanatabora na Watanzania kwa ujumla”

 

“Nitoe shukrani zangu kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ziara yake hapa mkoani kwetu ambayo kwa kweli imekuwa na faida kubwa kwa mkoa na taifa kwa ujumla, na miradi yote aliyozindua inagusa jamii moja kwa moja” alisema Dkt. Batilda

 

Aidha Mhe. Dkt Batilda amemuhakikishia Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kusimamia na kutekelez maelekezo yote aliyoyatoa wakati wa ziara yake Mkoani Tabora.

 

“Nipende kumuhakikishia Muheshimiwa Rais kuwa, maelekezo yote aliyotupatia wakati wa ziara yake, tunayafanyia kazi ili kuhakikisha miradi yote aliyozindua inakuwa na tija kwa Wanatabora na Watanzania kwa ujumla” alisema Mkuu wa Mkoa

 

Ikumbukwe kuwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alikuwa na ziara ya siku mbili Mkoani Tabora, na kutembelea Wilaya ya Igunga na Nzega na kuzindua miradi mikubwa miwili ukiwemo mradi wa Chuo Cha Veta uliopo wilayani Igunga. Na mradi wa Umwagiliaji wa Center Pivot uliopo Wilayani Igunga.

 

#Kazi Iendelee

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa