• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

RC TABORA KUJIHUSISHA NA UFUGAJI WA KUKU

Posted on: August 12th, 2021

NA TIGANYA VINCENT

WANAWAKE Mkoani Tabora wametakiwa kujihusisha na ufugaji wa kuku ili kujiongezea kipato kwa ajili ya maendeleo yao na familia zao.

Kauli hiyo imetolewa leo na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt Batilda Buriani wakati akifungua mafunzo kwa Madiwani wa Viti maalumu na wanawake ambao wanaongoza Kata yaliyoandaliwa na  Mbunge wa Viti Maalum Mkoa Mkuu wa Tabora Munde Tambwe.

Alisema kuwa uwepo wa miradi mikubwa inayotekeleza kama vile ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Uganda hadi Tanzania ni fursa kwao kuuza bidhaa mbalimbali.

Balozi Dkt. Batilda aliwataka kutumia mafunzo ya ufugaji wa kuku kuboresha ufugaji ili waweze kuleta mapinduzi ya kimaendeleo kutokana na uuzaji wa kuku.

Alisema sio vizuri kuagiza kuku kutoka nje ya Mkoa wa Tabora wakati maeneo mazuri ya ufugaji yapo.

Katika hatua nyingine Mkuu huyo wa Mkoa alimpongeza Munde kwa kuhakikisha anatoa msaada wa majigo ya gesi kwa wanawake ambao unalenga kutunza mazingira

Awali Munde alisema kuwa ameandaa mafunzo ambayo yanalenga kuwajengea uwezo wanawake katika ufugaji wa kuku, kilimo bora cha Alizeti ili baadaye awape mtaji ambao watatumia kujiendeleza wenyewe.

Alisema baada ya mafunzo hayo atatoa shilingi laki mbili kwa kila Kata kwa ajili ya wanawake kuanzisha mradi wa ufugaji kuku ambao baada ya kuongezeka watasambaza kwa wanawake wengine bila kujali ili kadi ili nao wajiendeleza.

 

Munde alisema kwa upande wa kilimo atawekeza kwa wanawake kwa kutoa mbegu za alizeti ya shilingi milioni 6 kwa kila Wilaya ya Mkoa wa Tabora ambazo zitagharimu milioni 52.

Aidha alisema katika kuhakikisha kuwa wanawake hawatumii muda mwingi kutafuta kuni kwa ajili ya kupikia atatoa majiko ya gesi 670 yenye thamani ya milioni 30.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MHE. CHACHA AIPONGEZA TIMU YA UMISSETA MKOA KWA KUSHIKA NAFASI YA TATU KITAIFA

    July 01, 2025
  • RC. CHA AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WAPYA, WAAHIDI KUFANYA KAZI KWA BIDII NA UADILIFU.

    July 01, 2025
  • TABORA: MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YATAKIWA KUZINGATIA SHERIA NA MAADILI YA NCHI

    June 26, 2025
  • MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA YAENDESHA MAFUNZO MAALUM YA MATUMIZI YA MFUMO WA PEPMIS KWA WATUMISHI WA UMMA MKOA WA TABORA

    June 23, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa