• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

RC TABORA KUUNDA TIMU YA KUSHIRIKIANA NA TRC KUFUFUA KARAKANA YA SAMANI

Posted on: July 23rd, 2021

MKUU wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Buriani amesema Wataunda Timu itakayoshirikiana na Shirika la Reli Tanzania na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ili kuhakikisha wanafufua karakana kubwa ya mjini Tabora.

Alisema Karakana hiyo amabyo mitambo yake mingi bado inafanya kazi ni fursa kubwa kwa ujenzi wa uchumi wa Mkoa wa Tabora na uboreshaji wa Shirika la Reli la Tanzania(TRC)

 

Dkt. Batilda ametoa kauli hiyo leo baada ya kumaliza ziara yake ya kujitambulisha na kukagua shughuli mbalimbali za Shirika la Reli Tanzania(TRC)  Kanda ya Tabora.

“Hii mimi ninaiona kuwa ni fursa kwetu Tabora …tutaunda timu ambayo itashirikiana na wenzetu wa TRC na Wizara husika katika kuhakikisha inarejea katika utendaji wake wa awali ikiwa ni pamoja na  wa kupasua magogo makubwa, kutengeneza samani na kuweka urembo kwenye samani kwa ajili ya kuongeza mapato ya Mkoa wetu” alisisitiza.

 Amesema kufufuliwa kwa Karakana hiyo kutasaidia kuongeza fursa ya mapato kutokana na bidhaa mbalimbali ambazo zitazalishwa kwa kuwa kuna mitambo mikubwa ambayo inaweza kufanya kazi nyingi kwa muda mfupi na kutoa ajira kwa watu wengi.

 Aidha Mkuu huyo wa Mkoa aliwataka Watendaji wa TRC Kanda ya Tabora kutumia njia hiyo ambayo ni  Kitovu cha Usafishaji wa Reli kwa ajili ya kutoa fursa kwa wananchi wengi kutangaza bidhaa kama vile asali na  mchele kwa wageni wa ndani na nje ya Nchi wanaotumia usafiri huo.

 

Alisema hatua itasaidia kuboresha mapato ya wananchi na uchumi wa Mkoa na hata mazingira ya Shirika kwa upande wa Tabora.

 

“Moja ya kitambulisho ya Tabora ni asali ni vema mkaweka mazingira wezeshi kwa wakazi wa Tabora kunufaika na njia hiyo kwa kuuza bidhaa za asili za aina mbaliambali badala ya kuuza soda na maji pekee” alisisitiza.

 

Kwa upande wa Chuo cha Teknolojia ya Reli(TIRTEC) , Mkuu huyo wa Mkoa aliwataka kukitangaza zaidi ndani na nje ya Nchi ili kiweze kuongeza idadi ya wanachuo kinaodahili hivi sasa kutoka 288 hadi zaidi ya 400.

 

Alisema hatua hiyo ni lazima iendelea na kuongeza kozi wanazofundisha ikiwemo kuwa na asatashahada, stashahada na Shahada katika masomo yayohusiana na usafishaji wa Reli.

Dkt. Batilda alisema hali hiyo itawawezesha wahitimu kuwa na uwezo wa kuendesha Reli Treni ya Mwendo pindi itakapokuwa imekamilika.

 

Meneja wa Usafirisahaji Kanda ya Tabora John Mamuya alisema wanatoa fursa kwa Wajasiriamali kufanyabiashara kwa wale wanaozigatia Sheria na taratibu.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa