• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

RC TABORA "SERIKALI IMETOA BILIONI 8.6 KWA AJILI YA RUKUZU YA MBOLEA"

Posted on: October 13th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian amemshukuru Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutenga shilingi Bilioni 8.6 kwa ajili ya rukuzu ya mbolea ambayo kwa hakika imewapunguzia mzigo wakulima kwa asilimia 44. Ameyasema haya leo alipohutubia mamia ya wananchi waliofika kwenye kilele cha Maadhimisho Ya Siku Ya Mbolea Duniani kwenye viwanja vya Chipukizi, Manispaa ya Tabora.

 

“Serikali imeendelea kutoa ruzuku ya pembejeo ambapo katika msimu wa kilimo wa 2022/23, Mkoa wa Tabora umepokea Tani 8 za mbolea ya ruzuku yenye thamani ya Shilingi Bilioni 19.5. Kati ya hizo, shilingi Bilioni 10.9 zilitolewa na wakulima. Ruzuku ya Serikali ilikuwa ni shilingi Bilioni 8.6 Ruzuku hiyo imewapunguzia wakulima mzigo wa kununua mbolea kwa asilimia 44” Alisema RC. Batilda

 

 Mkuu wa Mkoa ameeleza kuwa, kufuatia uwekezaji mkubwa unaofanywa na Serikali ya awamu ya sita, kasi ya uzalishaji wa mazao imeongezeka kutoka tani laki 9 mwaka 2021/2023 na kufikia tani milioni 1 kwa mwaka 2022/2023 sawa na ongezeko la asilimia 18.

 

“Kutokana na kazi kubwa inayofanywa na Serikali ya Awamu ya sita ya kutoa ruzuku ya pembejeo na vitendea kazi kwa maafisa ugani, uzalishaji wa mazao ya chakula katika Mkoa wa Tabora umeongezeka kutoka tani laki 9 mwaka 2021/2022 hadi tani milioni 1 mwaka 2022/2022. Ongezeko hilo ni sawa na asilimia 18.6.” alisisitiza Mkuu wa Mkoa. 

 

Mkuu wa Mkoa ameeleza kuwa, mpaka sasa Mkoa umeshaweka mikakati ya kuhakikisha zoezi zima la usambazaji wa mbolea kwa wakulima linafanikiwa kwa kushirikiana na watendaji wa Wilaya na Halmashauri zote na Mkoa unatarajia kuwa na vituo 80 vya kuuzia licha ya sasa kuwa na vituo 27.

 

“Msimu huu, Mkoa umejipanga vizuri kuhakikisha kila Wilaya inakuwa na vituo vya kutosha vya uuzaji wa mbolea. Kwa sasa tuna jumla ya vituo 27 vya kuuzia mbolea. Matarajio yetu kabla ya msimu wa kilimo kuanza tutakuwa na jumla ya vituo 80” Alisema Mkuu wa Mkoa.

 

Kufuatia ujio wa Mhe. Dkt.  Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuria wa Tanzania, Mkoani Tabora, Mhe. Mkuu wa Mkoa ametoa wito kwa wananchi wa Tabora kujitokeza kwa wingi kwenye mapokezi ya Mhe. Rais ambaye anatarajiwa kufanya ziara yake hapa Mkoani Tabora.

 

“Kama mnavyojua Mkoa wetu umepata bahati ya ujio wa Mheshimiwa Rais, ambaye anatarajiwa kuja hapa Mkoani kwetu. Na hivyo niwaombe mjitokeze kwa wingi kumpokea Rais wetu mpendwa” Alisema Mhe. Mkuu wa Mkoa.

 

Maadhimisho ya Siku ya Mbolea Duniani yalizinduliwa rasmi mnamo Oktoba 11, 2023 na kuhitimishwa leo Oktoba 13, 2023 yenye kauli mbiu isemayo “Matumizi sahihi ya mbolea ya ruzuku, kwa kilimo chenye tija”

 

 

 

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa