Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian anatoa Salamu za Pongezi kwa Walimu na Wanafunzi wote Mkoani Tabora (Toronto ya Unyamwezini) kwa matokeo mazuri ya Kidato cha Sita kwa mwaka 2023. Uwekezaji wa Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye elimu umechangia kwa kiasi kikubwa matokeo haya mazuri.
KAZI IENDELEE.
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa