• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

SERIKALI KUTOA MBEGU BORA ZA ALIZETI ZA RUZUKU KWA WAKULIMA

Posted on: June 15th, 2021


SERIKALI KUTOA MBEGU BORA ZA ALIZETI ZA RUZUKU KWA WAKULIMA

SERIKALI inatarajia kutoa mbegu bora za alizeti kwa wakulima kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa zao hilo ili kukabiliana na upungufu wa mafuta ya kula hapa nchini.

Kauli hiyo imetolewa Wilayani Igunga na Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya masoko ya pamba na kuhamasisha wakulima wa zao hilo kulima kwa wingi alizeti, choroko, dengu na pamba yenye.

Alisema nchini inakabiliwa na upungufu mafuta ya kula zaidi ya lita laki nne ili kuziba pengo kunahitaji alizeti milioini 1.3 kwa mwaka kwa ajili ya kuviwezesha viwanda kulizalisha mafuta mwaka mzima.

Bashe alisema  ili kiwango hilo kiweze kufikiwa kunahitajika tani 3,900 za mbegu bora za alizeti na kuongeza kuwa Serikali imekusudia kugawa mbegu kwa ruzuku.

Alisema Serikali imeshatenga katika bejeti ya Wizara kilimo fedha kwa ajili ununuzi wa mbegu bora ambazo zitatolewa kwa wakulima ambapo watalipa nusu ya gharama baada ya kuvuna na kuuza alizeti yao.

“Kupitia fedha tulizotenga katika bajeti yetu tutaagiza mbegu ambazo tunaupungufu ndani nchi  na Wakala wa Mbegu Bora za Kilimo nchini – ASA ndio atakayeagiza na Serikali  itazigawa kwa wakulima kwa nusu ya bei ya aina ya mbegu”alisema

Bashe alisema wakulima wa Igunga watakiwa kulima pamba  alizeti choroko na dengu kwa wingi ili kuwawezesha kuwa kipato cha kutosha kwa ajili ya maendeleo yao na Taifa kwa ujumla.

Katika hatua nyingine Naibu Waziri huyo alisema kuanzia sasa zao la dengu na choroko hazitumia mfumo wa mauzo ya stakabadhi ghalani na badala yake mkulima atauza kule alipo.

Alisema katika kuhakikisha Mkulima aibiwi mazao yake  uongozi wa Halmashauri ambazo wakulima wake wanalima mazao hayo waka na sehemu maalumu za kuuzia na kuweo na vipimo rasmi.

Bashe alisema ni marufuku kwa wanunuzi kutumia ndoo ambazo ndio zimekuwa zitumia kuwanyonya wakulima wa dengu na choroko.

mwisho

 

 



Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa