• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

SIKONGE WAAGIZA KUKUSANYA DENI LA TSHS MILIONI 200.6 KUTOKA KWENYE VIKUNDI

Posted on: June 17th, 2021

SIKONGE WAAGIZA KUKUSANYA DENI LA TSHS MILIONI 200.6 KUTOKA KWENYE VIKUNDI

MENEJIMENTI ya Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge kuhakikisha inafutilia na kurejesha kiasi cha shilingi milioni 200.6 ambazo zilikopeshwa kwa kwenye vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu.

Agizo hilo limetolewa jana na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tabora Peres Magiri  wakati wa kikao cha Baraza Maalum la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge kupitia Hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) za mwaka wa fedha 2019/2020.

Alisema lazima wakopaji warejeshe fedha hizo ili ziweze  kama kutumika kuvikopesha vikundi vingi zaidi.

Aidha Kaimu Mkuu huyo wa Mkoa aliagiza kuchukuliwa hatua stahiki za kisheria kwa  Watumishi wa Halmashauri waliosababisha hoja kwa sababu ya kutowajibika ipasavyo, uzembe katika utekelezaji wa majukumu  yao, manunuzi yasiofuata taratibu na usimamizi mbovu wa miradi ya maendeleo hasa katika ngazi za chini.

 Alitaja baadhi ya hoja zilizoleta dosari ni pamoja na mapato ya ndani yaliyokusanywa kiasi milioni 99 lakini hakikupelekwa benki, hasara ya kiasi cha milioni 11.8 iliyotokana na  Halmashauri kwa sababu ya makosa ujazaji fomu na hivyo Bima ya Afya (NHIF) kukataa kulipa.

 Magiri alisema eneo jingine ni kuchelewa kutekelezwa kwa miradi ya maendeleo yenye thamani ya shilingi 661.9 ambayo haijakamilika kwa wakati kutokana na kutokuwepo kwa mikakati, hali hiyo imepelekea kupotezwa kwa fedha zilizowekezwa katika miradi hiyo.

 Katika hatua nyingine aliwaagiza Menejimenti na Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge kuongeza nguvu ya ukusanyaji mapato kwa kuwa hadi kufikia tarehe 11 Juni, 2021 kiasi cha shilingi  bilioni 1.8  kilikusanywa  sawa na  asilimia 70 kati ya makisio yaiasi cha shilingi bilioni 2.7

 Alisema Halmashauri   ilipaswa kuwa imekwisha kukusanya kuanzia asilimia 90 na kuongeza kuwa ifikapo tarehe 30 Juni, 2021 wawe wamekusanya mapato ya ndani kwa asilimia  100.

 Magiri alisema dhamira ya Serikali ni kuwa Halmashauri zote zinapwa kujiendesha zenyewe bila ruzuku toka Serikali Kuu kuanzia mwaka 2025, kwa mapato yanayokusanywa katika Halmashauri yako ni dhairi itashidwa kujiendesha.

Magiri alisema nguvu ya zaida inahitajika katika ukusanyaji wa mapato, kubuni vyanzo vipya vya mapato, kusimamia na kuzuia uvujaji wa mapato na kulifanya zoezi la ukusanyaji wa mapato ni la wote kuanzia Wahe. Madiwani hadi kwa Watendaji wa Halmashauri, Kata na Vijiji.

 mwisho

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa