• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

TABORA KUANZA ZOEZI LA UPIMAJI WA UBORA WA UDONGO ILI KUONGEZA UZALISHAJI WA MAZAO

Posted on: August 12th, 2021

NA TIGANYA VINCENT

MKOA wa Tabora kwa kushirikiana  na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo ya Tumbi unatarajia kuendesha zoezi la upimaji wa  ubora wa udongo wake ili kuwawezesha wakulima mazao mabalimbali kuzalisha kwa wingi.

Kauli hiyo imetolewa leo na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Buriani wakati wa uzinduzi wa Baraza la Biashara ya Wilaya ya Sikonge.

Alisema zoezi hilo litarajiwa kufanyika katika Halmashauri zote za Mkoa huo katika kiindi cha Mwezi mmoja 

 

Balozi Dkt. Batilda alisema lengo la zoezi hilo ni kutaka kuwahakikisha wakulima kupata mavuno mazuri badala kulima kilimo cha kubahatisha kwa kulima bila kujua kama watafanikiwa.

“Tunataka kufanya ‘soil analysis’ katika Halmashauri zetu zote kwa ajili ya kumwezesha mkulima anapolima ajue anapaswa kulima zao gani katika shamba lake ili aweze kupata mavuno mazuri” alisema.

Alisema wanataka wakulima pindi wanapotaka kulima watambue kuwa ardhi yao inafaa aina fulani ya mazao na kuwaepusha kulima kwa mazoea na kujikuta hawapati faida kubwa.

Balozi Dkt. Batilda alisema kwa kuanzia wameshafanya katika eneo Karangasi wilayani Uyui na kubaini kuwa eneo hilo linafaa sana katika uzalishaji wa alizeti.

Alisema kufuatia hali hiyo wanatarajia kuanzisha mashamba makubwa(block farm) ya alizeti katika eneo ili waweze kuzalisha kwa wingi kwa ajili ya uzalishaji wa mafuta ya kula.

Katika hatua nyingine Mkuu wa Mkoa wa Tabora amekemea vitendo vya uchomaji moto ovyo ambavyo imesababisha uharibifu mkubwa wa mistu katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Sikonge.

Akizungumza na Wakazi wa Ipole wilayani Sikonge ametaka kuwafichua wanaoendesha vitendo vya uchoamji mistu ovyo ili hatua za kisheria dhidi yao zichukuliwe.

Balozi Dkt. Batilda alisema kuwa viyendo hivyo vinatishia zoezi la ufugaji nyuki ambayo ndio nemboa ya Tabora

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MHE. CHACHA AIPONGEZA TIMU YA UMISSETA MKOA KWA KUSHIKA NAFASI YA TATU KITAIFA

    July 01, 2025
  • RC. CHA AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WAPYA, WAAHIDI KUFANYA KAZI KWA BIDII NA UADILIFU.

    July 01, 2025
  • TABORA: MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YATAKIWA KUZINGATIA SHERIA NA MAADILI YA NCHI

    June 26, 2025
  • MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA YAENDESHA MAFUNZO MAALUM YA MATUMIZI YA MFUMO WA PEPMIS KWA WATUMISHI WA UMMA MKOA WA TABORA

    June 23, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa