• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

TABORA YAANZA MIPANGO YA KUKABILIANA NA UGONJWA WA MARALIA

Posted on: September 25th, 2023

Katika kuhakikisha Mkoa wa Tabora unakwenda sambamba na kauli mbiu ya “Zero Maralia” Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mhe. Louis Peter Bura akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian, amewataka Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi kusimamia zoezi la ugawaji wa vyandarua litakapoanza ili kuhakikisha walengwa wote wanafikiwa. Ameyasema hayo leo Septemba 25, 2023 kwenye Kikao cha Uzinduzi wa Usambazaji wa Vyandarua kwenye Kaya, Mkoani Tabora.

 

“Nitoe maelekezo kwa wakuu wa Wilaya na wakurugenzi kuweka mikakati na kusimamia vizuri zoezi la ugawaji wa vyandarua katika kaya na kuweza kuwafikia walengwa kama ilivyokusudiwa na Serikali ili kupunguza maambukizi ya ugonjwa wa Malaria” Alisema Mhe. Bura.

 

Sambamba na hilo amewataka wataalamu wa masuala ya afya, kuwashirikisha viongozi wa kisiasa, dini pamoja na ngazi zote za kiserikali, kuhakikisha mapambano dhidi ya maralia yanakuwa suala la Jamii nzima na la kudumu.

 

“Pia nitoe wito kwa wataalamu wa Afya kuwashirikisha viongozi wa Siasa, dini na Serikali ngazi zote katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Malaria, ili mapambano dhidi ya ugonjwa huu iwe ajenda ya kudumu katika Vikao vyote vya Kisheria katika Wilaya na Halmashauri”

 

Aidha, Mhe. Bura ameishukuru Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa kugawa vyandarua na kuongeza kasi  kwa wananchi kupambana na Malaraia.

 

“Naishukuru sana Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa kuratibu zoezi zima la upatikanaji wa vyandarua na kuongeza wigo kwa wananchi wa kupatiwa vyandarua hivyo ili kudhibiti ugonjwa wa Malaria”

 

Kwa mujibu wa Takwimu, Kiwango cha maambukizi ya Malaria katika Mkoa wa Tabora kwa watoto kati ya umri wa miezi 6 - 59 kimeongezeka kutoka 11.7% mwaka 2017/2018 hadi kufikia 23.4%, ikiwa kiwango cha maambikizi ya Malaria Kitaifa ni 8.1%. Hivyo Mkoa wa Tabora una kila sababu ya kuhakikisha zoezi la ugawaji wa vyandarua kwa kila kaya linawafikia watu wote ili kukabiliana na ugonjwa wa Maralia.

 

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BODI YA WADHAMINI MFUKO WA MISITU TANZANIA YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO TABORA.

    May 07, 2025
  • NAIBU WAZIRI MKUU AONGOZA HAFLA YA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI UJENZI WA KIWANDA CHA NGUZO ZA ZEGE TABORA.

    May 03, 2025
  • DKT. BITEKO AIPONGEZA TANESCO NA ETDCO KWA JUHUDI ZA KUBORESHA HUDUMA YA UMEME URAMBO

    May 02, 2025
  • SERIKALI IPO KAZINI KUBORESHA HAKI NA MASLAHI YA WAFANYAKAZI, WAFANYAKAZI NI UTI WA MGONGO WA TAIFA – MHE. SAUDA MTONDOO,

    May 01, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa