• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

TCDC YABAINISHA NAFASI YAKE KWENYE MAENDELEO YA USHIRIKA

Posted on: October 11th, 2023

Kufuatia ufunguzi wa siku ya Mbolea Duniani ambayo kitaifa yanafanyika Mkoani Tabora, Tume ya Maendeleo ya Ushirika imebainisha mchango wake katika maendeleo ya ushirika ambao unabeba ididi kubwa ya wanachama wanaofaidika na mbolea. Kwa niaba ya Mrajisi na Mtendaji Mkuu wa TCDC, Ndugu. Venance Msafiri Mrajisi Msaidi (M) Tabora ameeleza kuwa, TCDC ina majukumu makubwa mawili ambayo inayatekeleza kupitia vyama vya msingi ambavyo vinajumuhisha idadi kubwa ya wakulima ambao hufaidika na mbolea moja kwa moja.

 

“tume ina majukumu makubwa mawili, kwanza ni usimamizi na uthibiti wa vyama vyama vya Ushirika na pili ni kufanya uhamsishaji kwenye vyama vya Ushirika na sehemu zote za kiuchumi.” Alisema Mrajisi.

 

Sambamba na hilo Ndugu, Venance amebainisha umuhimu wa Maadhimisho ya Siku ya Mbolea kwa wakulima ambao mpaka sasa idadi yake ni kubwa na wanafaidika kwa kiasi kikubwa na maadhimisho haya ambayo wakulima wanapata nafasi kubwa ya kujifunza mambo kadha wa kdha kuhusiana na mbolea.

 

“Nchi nzima kuna vyama vya Ushirika zaidi ya elfu saba na mia tatu (7300) ambavyo vina jumla ya wanachama milioni nane (8,000,000), na kati ya hao AMCOS ina wanachama 5000 ambao kwenye maadhimisho haya, ile idadi kubwa ya wanachama kuna idadi kubwa ya wakulima na wanatumia hizi mbolea” Alisisitiza Ndugu Msafiri.

 

Aidha, Ndugu Venance Msafiri ameeleza kuwa, maadhimisho haya ya Siku ya Mbolea yana faida kubwa kwa wakulima Mkoani Tabora kwani kuna idadi kubwa ya wakulima ambao hufaidika moja kwa moja na mbolea zinazotolewa.

 

“Kwa mfano sisi hapa Tabora tunatumia mbolea aina mbalimbali na tunashukuru sana kwa mwaka huu bei ya mbolea imeshuka chini na kumuwezesha mkulima kumudu bei hiyo”alisema ndugu Venance.

 

Ikumbukwe kuwa, Maadhimisho ya Siku ya Mbolea Duniani yanafanyika Mkoani Tabora kuanzia Oktoba 11, 2023 hadi Oktoba 13, 2023, yenye Kauli mbiu isemayo “Matumizi Sahihi ya Mbolea ya Ruzuku kwa Kilimo Chenye Tija”

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa