Tayari katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora Dkt. John Mboya ameshawasili na kupokea maandamano ya Vijana kwenye Ukumbi wa Chuo cha Polytechnic kumuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian kwenye ufunguzi wa Kongamano la Vijana lililoandaliwa na UVCCM Seneti Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Tabora kwa ajili kupata elimu ya fursa mbalimbali zinazopatikana Mkoani Tabora.
Kongamano hili ni siku moja ambalo linatarajiwa kufungwa na mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian.
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa