Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian leo Julai 14, 2023, amekagua Zahanati ya Kijiji cha Ipumbulya iliyopo Kata ya Bukoko Wilaya ya Igunga. Ujenzi wa Zahanati hiyo umekamilika kwa asilimia 75.
Ujenzi wa Zahanati hiyo umegharimu Shilingi Milioni Hamsini (50,000,000) ambapo ujenzi wake umetumia nguvu za wananchi pamoja na fedha shilingi Milioni mbili (2,000,000) kutoka Mfuko wa Jimbo la Manonga.
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa