• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

WANANCHI ZAIDI YA LAKI 6 KUPATA VITAMBULISHO VYA TAIFA MKOANI TABORA

Posted on: February 14th, 2024


  • Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian amezindua zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya taifa mkoa wa Tabora ambapo jumla ya wananchi laki sita, elfu themanini na tisa , mia tisa kumi na sita (689,916) kugawiwa vitambulisho hivyo. Hayo yamejiri leo Februari 14, 2024 kwenye uzinduzi wa zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya taifa lililofanyika katika ukumbi wa Isike Mwanakiyungi.

 

Mkuu wa Mkoa amengoza kuwa, licha ya idadi hiyo ya wananchi kukabidhiwa vitambulisho hivyo, bado wananchi zaidi ya laki moja hawajakabidhiwa vitambulisho vyao, na hivyo kutoa wito kwa wananchi kuwa na subira wakati zoezi la uandikishwaji likiendelea.

 

Sambamba na hilo Mhe. Batilda amemshukuru Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kutoa fedha na kukamilsha zoezi hili la utolewaji wa vitambulisho vya taifa ambalo kwa mkoa wa Tabora limefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana.

 

Aidha Mhe. Burian ametoa wito kwa wakuu wa wilaya na wakurugenzi kuhakikisha wanasimamia zoezi hili la ugawaji wa vitambulisho vya taifa kwenye halmashauri zote za mkoa wa Tabora.

 

Kwa upande wa Afisa usajili wa Mamlaka ya Vitambulisho  vya Taifa Mkoa wa Tabora Ndugu. Isakwisa Mwampulo amebainisha baadhi ya changamoto ambazo bado zipo kwenye ukamilishaji wa zoezi hilo ikiwemo, tabia ya wananchi kutoa taarifa za uongo na na masuala ya uraia, na kuahidi kuzidi kufanya kazi kwa bidii ili kukamilisha zoezi hilo kwa kushirikiana na watendaji wa kata na vijiji.

 

Nao baadhi ya wananchi  wametoa shukrani kwa kupata vitambulisho hivyo ambavyo vimekuwa na msaada mkubwa sana, na kwamba hapo awali walikuwa wakikosa baadhi ya huduma muhimu kwa kukosekana kwa baadhi ya taarifa muhimu zilizopo kwenye vitambulisho hivyo.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa