• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

WAZALISHAJI WA MBEGU ZA PAMBA KUNUFAIKA NA ONGEZEKO LA BEI KUANZIA MWAKANI

Posted on: June 15th, 2021

WAZALISHAJI WA MBEGU ZA PAMBA KUNUFAIKA NA ONGEZEKO LA BEI KUANZIA MWAKANI

SERIKALI imesema kuanzia msimu ujaoa wakulima wa pamba katika maeneo ya uzalishaji wa mbegu watanufaika na ongezeko   asilimia kuanzia 10 hadi 20 ya bei iliyotangazwa(bei dira).

Kauli hiyo imetolewa Wilayani Igunga na Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya masoko ya pamba na kuhamasisha wakulima wa zao hilo kulima kwa wingi alizeti, choroko, dengu na pamba yenye.

"Kuanzia msimu ujao Wilaya ya Igunga na Tanganyika ambazo zinahusika na uzalishaji wa mbegu za pamba kwa ajili ya wakulima wa maeneo mengine nchini watapata 'additional incentive' kwa kuongezewa bei" alisema Alisema mnunuzi yote wa pamba atakayekwenda kununua zao hilo atakakiwa kutoa bei ya ziada ili kuwafanya wakulima wa maeneo hayo ambao ndio wanatunza mbegu waweze kupata pesa tofauti na maeneo mengine yanalima zao hilo.

Aidha Bashe aliwahakikisha wakulima wa pamba wa Igunga kuwa Kitalu cha uzalishaji wa mbegu za pamba hakitahamishwa  kitabaki wilayani humo.


Katika hatua nyingine Bashe ameagiza Bodi ya Pamba nchini kuangalia uwezekano wa kutafua njia ya kukikopesha Chama cha Msingi cha Ushirika cha Igunga Balimi AMCOS Matreka matatu kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa pamba.

Alisema matreka hayo yanaweza kuwekewa utaratibu mzuri ambapo wanachama watakuwa wakikodisha kwa ajili ya kuwawezesha kulima mashamba makubwa.

Wakati huo huo Bashe alisema kuanzia msimu ujao wa kilimo  Serikali itagawa mavazi rasmi ya kuvunia pamba na kuhifadhi pamba ili kuhakikisha inakuwa na ubora wa hali ya juu.

Alisema mifuko ya kuhifadhia itakuwa ya aina mbili ya kuweka pamba ya kiwango cha juu na mwingine wa kuweka ya kiwango cha chini.

Bashe alisema sanjari na hilo mifuko hiyo itakuwa na namba za utambulisho wa mkulima ili kama kutatokea dosari waweze kutambua mhusika na kumchukulia hatua yeye.

mwisho

 

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa