• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

WAZIRI BASHE ATANGAZA TABORA KUWA KITUO CHA USHIRIKA

Posted on: July 1st, 2023

Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amesema kuwa Serikali ina mpango wa kuhakikisha Mkoa wa Tabora unakuwa kituo kikuu cha Ushirika hapa nchini. Ameyasema hayo leo Julai 1, 2023 wakati akihutubia mamia ya wananchi katika viwanja vya Nanenane,Manispaa ya Tabora kwenye Ufungaji wa Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani (SUD). Na kwamba Serikali kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya Kilimo watahakikisha wanaufanya Mkoa wa Tabora kuwa kituo cha Ushirika licha ya kwamba Siku ya Ushirika huadhimishwa kwenye mikoa tofautitofauti.


Kwa upande mwingine Waziri Bashe amebainisha kuwa “ hadi sasa jumla ya Kilo milioni 104  zenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 500 za tumbaku zimenunuliwa hadi sasa katika.masoko ya tumbaku yanayoendelea sehemu mbalimbali nchini. Ambapo kilo zilizonunuliwa ni sawa na asilimia 86.6 ya tumbaku ambayo Serikalo kwa mwaka huu imelengwa kununuliwa msimu huu ambayo ni sawa na kilio Milioni 120.


Akifunga maadhimisho ya siku ya ushirika Duniani,SUD,yanayofanyika Kitaifa mkoani Tabora,Julai 1,2023,Waziri wa Kilimo,Hussein Bashe,amesema ana uhakika lengo litafikiwa la kununuliwa kilo 120milioni. Amebainisha kuwa kati ya tumbaku iliyonunuliwa yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 500 makampuni yamelipa Shilingi Bilioni 400 na yanadaiwa jumla ya Shilingi Bilioni 100..


Ameeleza kuwa msimu uliopita wakulima waliuza kilo Milioni 60 na kwamba waliweka makubaliano ya kufikia kilo 120milioni msimu huu ambazo zitafikiwa."Tumekuwa na ongezeko hilo na nina amini tutalifikia masoko yatakapofikia mwisho msimu huu,"amesema Waziri Hussein Bashe.


Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani yalifunguliwa Juni 27,2023 na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. David Silinde(MB) na kufungwa leo Julai 1, 2023 na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe(MB).


Kauli mbiu inasema:

“USHIRIKA KWA MAENDELEO ENDELEVU”

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MHE. CHACHA AIPONGEZA TIMU YA UMISSETA MKOA KWA KUSHIKA NAFASI YA TATU KITAIFA

    July 01, 2025
  • RC. CHA AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WAPYA, WAAHIDI KUFANYA KAZI KWA BIDII NA UADILIFU.

    July 01, 2025
  • TABORA: MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YATAKIWA KUZINGATIA SHERIA NA MAADILI YA NCHI

    June 26, 2025
  • MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA YAENDESHA MAFUNZO MAALUM YA MATUMIZI YA MFUMO WA PEPMIS KWA WATUMISHI WA UMMA MKOA WA TABORA

    June 23, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa