• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
      • Community development
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

WAZIRI MAVUNDE AZINDUA KIWANDA CHA MKAA MBADALA TABORA, MUENDELEZO WA MAPAMBANO DHIDI YA UHARIBIFU WA MAZINGIRA NCHINI

Posted on: February 21st, 2026

Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amezindua kiwanda cha kuzalisha nishati mbadala ya mkaa (briquettes) kiitwacho Rafiki Briquettes, kilichopo Kata ya Kiloleni, Manispaa ya Tabora, hatua inayolenga kuongeza ajira na kulinda mazingira.

Kiwanda hicho, kilichojengwa na Shirika la Madini la Taifa, Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), kina uwezo wa kuzalisha tani 20 za mkaa mbadala kwa saa moja kwa kutumia mchanganyiko wa vumbi la makaa ya mawe, teknolojia inayotarajiwa kupunguza matumizi ya nishati isiyo rafiki kwa mazingira.

Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Mhe. Upendo Wella, amesema uwekezaji huo ni utekelezaji wa maelekezo ya Rais na sehemu ya mkakati wa Serikali kukuza uchumi wa viwanda mkoani humo.

“Kiwanda hiki kitakuwa mkombozi katika suala la ajira. Takribani ajira 200 zinatarajiwa kupatikana hapa. Huu ni ushindi kwa Mkoa wa Tabora kwa kuwa maelekezo ya Mhe. Rais yametekelezwa kwa vitendo,” alisema Mhe. Wella.

Kwa mujibu wa Waziri Mavunde, uzalishaji wa mkaa mbadala utasaidia kupunguza shinikizo la ukataji miti, kuboresha usafi wa mazingira na kurahisisha upatikanaji wa nishati kwa matumizi ya majumbani na viwandani.

Uzinduzi huo umeshuhudiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya STAMICO nchini, Mhe. Simon Sirro, pamoja na viongozi wa Serikali ngazi ya mkoa na wilaya pamoja  na wadau wa sekta ya madini na mazingira.

Hatua hiyo inaifanya Tabora kuwa miongoni mwa mikoa inayoongoza katika utekelezaji wa miradi ya nishati mbadala inayochochea maendeleo ya viwanda huku ikihifadhi mazingira kwa vizazi vijavyo.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WAZIRI MAVUNDE AZINDUA KIWANDA CHA MKAA MBADALA TABORA, MUENDELEZO WA MAPAMBANO DHIDI YA UHARIBIFU WA MAZINGIRA NCHINI

    February 21, 2026
  • VIONGOZI WA MIKOA WAJADILI UENDELEZAJI WA SHOROBA ZA KILIMO SINGIDA.

    February 12, 2026
  • SERIKALI YAENDELEA KUIMARISHA USALAMA WA BODABODA TABORA, YATAKA UTII WA SHERIA BILA SHURUTI

    February 11, 2026
  • TABORA KWENDA KUNUFAIKA NA ZOEZI LA UPIMAJI NA UTAFITI WA AFYA YA UDONGO.

    February 06, 2026
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice
  • Migration Tanzania

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa