• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

ALLIANCE ONE YATOA VIFAA VYA UJENZI VYA MILIONI 23.9 KWA WILAYA MBILI ZA MKOA WA TABORA

Posted on: March 27th, 2020

KAMPUNI ya Tumbaku ya Alliance One Tanzania (AOTTL)  imeukabidhi uongozi wa Mkoa wa Tabora vifaa mbalimbali vikiwemo vifaa ujenzi vyenye thamani ya shilingi milioni 23.9.

Msaada huo umekabidhiwa leo na Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Kampuni hiyo David Mayunga kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri katika halfa iliyofanyika Ofisini kwake.

Mayunga alivitaja vifaa vilivyotolewa ni Bati 270, Saruji mifuko 300  na nondo 320.

Alisema msaada huo kwa ajili ya ujenzi wa mabweni na vyoo  katika Wilaya ya Tabora na Wilaya ya Uyui kwa ajili ya kuwasaidia watoto wa kike.

Mayunga alisema Wilaya ya Tabora imepewa mifuko 200 ya saruji na nondo 240 vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni 8.6.

Alisema msaada huo ni kwa ajili ya ujenzi wa mabweni katika Shule ya Sekondari ya Itojanda na Ndevelwa zote za Manispaa ya Tabora.

Mayunga alisema kwa upande wa Wilaya ya Uyui wamekabidhi mabati 250 , mifuko 100 ya saruji na nondo 80 kwa ajili ya kuunga mkono ujenzi wa Mabweni ya watoto wa kike katika Sekondari ya Idete na kumalizia majengo ya shule mpya ya Nsimbo.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mwanri aliwataka Idara Wakuu wa Wilaya zote zilizopata msaada huo  kuhakikisha vifaa hivyo vinatumika kwa malengo ya kutoa mazingira mazuri ya watoto wa kike kupata elimu.

Alionya kuwa hatasitakuchua hatua kwa watendaji wote waliopewa vifaa ambao watavitumia kwa maslahi binafsi.

Kwa upande wa Mkuu wa Wilaya ya Tabora Komanya Kitwala aliishukuru Kampuni ya Alliance One kwa msaada huo ambao utawasaidia kuongeza kampeni yake ya kujenga mabweni kwenye shule mbalimbali ili kuwa kinga watoto wa kike na mimba.

Alisema hatua hiyo ni muhimu katika kukabiliana na watoto kutembea umbali mrefu kwenda shuleni na huku njiani wakikutana na vishwawishi.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Uyui Gift Msuya alisema msaada waliopata utasaidia kumalizia mbweni ya wasichana  katika Shule ya Idete ambayo walikuwa washaanza kujenga chini ya Kampeni ya Nishike mkono kuwasaidia watoto wa kike wapate elimu.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa