• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

DC AKEMEA VITENDO VYA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI

Posted on: May 21st, 2021

MKUU wa Wilaya ya Sikonge Peres Magiri ameakea vitendo vya baadhi ya Watendaji na wananchi kujichukulia Sheria mkononi kwa kupiga na kuwatesa watuhumiwa kinyume na taratibu za Sheria.

Alisema watuhumiwa wanapokamatwa na kuanza kuadhibiwa havikubaliki na Serikali itamchukulia hatua mtu atakayebainika kuchochea uvunjifu wa Sheria za kushughulikia mharifu.

Magiri alitoa kauli hiyo  wakati akijibu hoja za baadhi ya Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge waliodai kuwa Watumishi wa Wakala wa Huduma za Mistu Tanzania(TFS) wamekuwa wakikamata wananchi na kuwatesa na kuwadhalisha wanapokuwa doria.

Alisema hakuna chombo chochote isopokuwa Mahakama pekee ndio inaruhusiwa kutoa adhabu kwa watuhumiwa na kuongeza kuwa kama kuna Mfanyakazi yoyote wa TFS ambaye anatuhumiwa kumkamata mtu kwenye Hifadhi wakati wa doria na kumtesa apewe taarifa ili hatua stahiki ziweze kuchukuliwa.

Magiri alisema kimisngi kuingia katika Hifadhi ya Mistu na kuvuna miti bila kibali ni makosa  lakini hayahalalishi mtuhumiwa kuteswa na kudhalilishwa bali anapaswa kumpeleka Polisi na hatimaye aende Mahakaani.

Aliongeza kuwa hata wale wanaoingia katika Hifadhi ya Wanyamapori na kuua wanyama bila kibali ni wakosaji na wahusika wanatakiwa kukamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya kisheria.

Mkuu huyo wa Wilaya ya Sikonge aliwataka Madiwani kutoa elimu katika maeneo yao kwa wananchi wao ya kuwa kuingia katika Hifadhi za aina yoyote bila kibali ni kosa.

Alisema haipendezi wananchi wanaingia katika Hifadhi za wanayapori na mistu bila vibali na wanapokamatwa ndipo baadhi ya Madiwani na viongozi wanajitokeza kuwatetea wakati wanajua kuwa wahusika wamevunja Sheria.

Mkuu huyo wa Wilaya ya Sikonge aliongeza kuwa ni vema Watuhumiwa wakimatwa wakatii Sheria maana mara nyingine kupigwa kwao kunatokana na wengine kuleta ubishi.

 

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa