Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametembelea na kukagua Hospitali ya Manispaa ya Tabora ambapo aliweka jiwe la msingi na baada kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Mashindano ya UMITASHUMTA na UMISSETA katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango aliwasili asubuhi ya leo uwanja wa ndege Mkoani Tabora na kupokelewa na Mwenyeji wake ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian.
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa