• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

KAIMU RC AAGIZA WALIOHISABABISHIA HOJA NZEGA WACHUKULIWE HATUA

Posted on: June 16th, 2021

KAIMU RC AAGIZA WALIOHISABABISHIA HOJA NZEGA WACHUKULIWE HATUA

BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega limeagizwa  kuhakikisha linawachukulia hatua watumishi wote waliosababisha hoja zilizotokana na uzembe ikiwemo upotevu , mapato, manunuzi yasiyofuata taratibu  pamoja na usimamizi usioridhisha wa miradi ya Maendeleo.

 

Kauli hiyo imetolewa  na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP ) Advera Bulimba wakati wa kikao cha Baraza Maalum la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega la kupitia Hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.

 

 Alisema hatua hiyo itasaidia kuepuka kurudiwa kwa makosa ambayo yameisababisha Halmsahauri hiyo kupata Hati yenye mashaka.

Aidha Kaimu Mkuu huyo wa Mkoa ameigaiza Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Nzega kuhakikisha inafuatilia na kurejesha kiasi cha shilingi milioni 172.5 ambazo vilikopeshwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Walemavu katika mwaka wa 2019/20.

Alisema kwa vikundi ambavyo vitashindwa kurejesha fedha hizo wachukuliwe hatua ikiwemo kupelekwa Mahakamani ili pesa zirudishwe kwa ajili ya kuwasaidia watu wengine.

 

ACP Advera alisema sanajari na hilo ni lazima Menejimenti ihakikishe inafuatilia wadaiwa  wa mashine za kukusanyia Mapato (POS) ili waweze kurejesha kiasi cha 109.7 na kuwachukulia nyingine.

 

Katika hatua nyingine Kaimu Mkuu huyo wa Mkoa wa Tabora ameuagiza uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya kuhakikisha kila wanapokusanya fedha za mapato yake ya ndani kuhakikisha kuwa wanatenga asilimia 40 kwa ajili ya miradi ya maendeleo na asilimia 10 kwa ajili ya kuvikopeshwa vikundi.

 

Alisema hatua itawasaidia kuepuka hoja za kikagua ambapo katika mwaka 2019/20  kiasi cha shilingi 332.3 kilikusanywa lakini hakikupelekwa       kwenye miradi ya maendeleo.

 

MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa