• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA WAINGIA MAKUBALIANO NA TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA YA BIMA KWA WAKULIMA

Posted on: July 7th, 2021

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kwa kushirikiana na Tume ya Maendeleo ya Ushirika, umesaini  makubaliano ya kuwawezesha wakulima walioko ndani ya vyama vya ushirika nchini kujiunga na huduma za matibabu kupitia mpango wa bima ya afya unaojulikana kama Ushirika Afya.

 

Makubaliano hayo yamesaini leo mjini Tabora kati ya Mkurugenzi Mkuu wa NHIF,  Bernard Konga na Mrajis wa Vyama vya Ushirika nchini Dkt Benson Ndiege.

 

Konga alisema Ushirika Afya ni mpango maalum unaowezesha wakulima wa mazao mbalimbali, wafugaji walioko katika vyama vya ushirika vya msingi (AMCOS) kunufaika na huduma za bima ya afya kupitia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.

 

Alisema kupitia mpango huu, mlengwa atatakiwa kuchangia kiasi cha shilingi 76,800 kwa mwaka na kuwa na fursa ya kupata huduma za matibabu kupitia mtandao mpana wa vituo vya kutolea huduma za matibabu zaidi ya 9,000 popote ndani ya Jumhuri ya Muungano wa Tanzania

 

Alisema kuwa hii ni fursa kubwa kwa wakulima kuweza kunufaika na huduma za matibabu kutokana na umoja wao kuwa chini ya Tume ya Maendeleo ya Ushirika ambaye ndiye atakuwa mdamini Mkuu.

 

“Ushirkiano huu na makubaliano ambayo tunaingia hapa yanapanua wigo kwa kundi la wakulima kuweza kujiunga na kunufaika na huduma za matibabu, awali wakulima walikuwa wanakutana na changamoto ya kukosa fedha za mchango wa uanachama lakini kwa sasa Tume ya Maendeleo ya Ushirika itasimamia suala hili kwa kuwa mdhamini wa vyama hivi,” alisema .

 

Aliwahakikisha wakulima wote walioko kwenye vyama vya ushirika ambao watajiunga na huduma za Bima ya Afya kupitia mpango wa Ushirika Afya kunufaika na huduma bora na zenye uharaka zaidi wakati wowote watakapozihitaji.

 

Konga aliwaomba wakulima wote nchini kuhakikisha wanatumia fursa hii ambayo ni nafuu kwao kujihakikishia huduma za matibabu wakati wowote na hatimaye waweze kufanya shughuli zao za kilimo kwa uhakika zaidi bila kuuza mazao yao kwa lengo la kugharamia huduma za matibabu.

 

Alisema kuwa makubaliano ya ushirikiano huu unalenga kuongeza wigo wa wananchi na kuwapa uhakika zaidi wakulima wa kutekeleza majukumu yao.

 

Kwa upande wake Mrajis wa Vyma vya Ushirika, Dkt. Ndiege alisema kusainiwa kwa mpango huo ni faraa kubwa kwa wakulima na  kuwajengea wananchi tabia ya kuwa ndani ya vyama vya ushirika ambako huduma mbalimbali zinapitia.

 

Alisema Mkulima ili aweze kufanya kilimo chenye tija ni lazima afya yake iwe njema na afya hii ataiona pale atakapokuwa na uhakika wa kupata huduma za matibabu pale anapopatwa na ugonjwa, hivyo kwa umuhimu huu tumeona ni vyema wakaingia makubaliano haya ambayo yana tija na maslahi makubwa kwa wakulima

 

Dkt. Ndiege alisema kuwa Tume ya Maendeleo ya Ushirika itahakikisha pia inasimamia na kufuatilia huduma wanazopata ili fedha wanazolipa ziwe na tija katika afya zao. 

Matangazo

  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA 2022 May 06, 2022
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • NAMBA ZA MAWASILIANO OFISI YA MKOA TABORA November 23, 2020
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKUU WA MKOA WA TABORA MH. BALOZI DKT BATILDA S. BURIANI AFUNGUA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE NGAZI YA MKOA

    July 22, 2022
  • WATU WAPOTEZA MAISHA WILAYANI SIKONGE BAADA YA KUFUNIKWA NA KIFUSI

    November 19, 2021
  • RC TABORA ASEMA WAKAZI WA URAMBO KUPATA MAJI KWA ASILIMI 95 IFIKAPO MWAKA 2025

    November 08, 2021
  • RC TABORA AAGIZA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KUTOA ELIMU YA UJASIRIAMALI KWA WALENGWA WA TASAF

    November 03, 2021
  • Angalia zote

Video

JPM BANDARINI
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • Government Portal
  • SALARYSLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa