Magodoro na mablanketi haya 40 yanatarijiwa kupelekwa kwa wanafunzi wa sekondari ya Ziba ambao siku ya jana Januari 23, 2024 waliunguliwa na vitu vyao kutokana na ajali ya kuungua moto bweni la wavulana lililopo shuleni hapo.
Tayari Mkuu wa Mkoa siku ya jana alishakabidhi magodoro zaidi ya mia moja (100) na mabalanketi zaidi ya mia tisini (190) kwa wanafunzi hao.
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa