Leo Julai 22, 2023, Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt Batilda Salha Burian amekutana na kufanya mazungumzo na Wajumbe wa Bodi ya Uthibiti wa Mbolea ( TFRA) inayoongozwa na Mwenyekiti wake Dkt. Antony Diallo.
Dkt. Batilda Burian amempongeza Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuzidi kuiamini Bodi hiyo na kuahidi kutoa ushirikiano ili kufakikisha wakulima Mkoani Tabora wanapata mbolea kwa wakati.
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa