• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
      • Community development
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

RC TABORA ATOA SIKU SABA UCHUNGUZI UJENZI WA KITUO CHA AFYA USINGE

Posted on: September 1st, 2021

MKUU wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda ametoa siku saba kwa Kamati ya Uchunguzi iliyoundwa na Mkuu wa Wilaya wa Kaliua kutoa taarifa ya matumizi ya zaidi milioni 600 zilizotolewa kwa  ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya cha Usinge.

Alitaka taarifa  hiyo kufuatia utata kwenye maelezo ya maendeleo ya ujenzi yaliyotolewa kwa Wajumbe wa Kamati ya Usalama ya Mkoa ile iliyotolewa kwa Waziri Mkuu hivi karibuni wakati wa ziara yake wilayani Kaliua.

Balozi Dkt.Batilda alitoa kauli hiyo leo wakati ziara ya kikazi wilayani Kaliua ili kutekeleza la agizo la Waziri Mkuu alilotaka uchunguzi wa matumizi ya fedha katika Kituo cha Afya cha Usinge.

Alisema katika taarifa ya awali iliyotolewa na Mtendaji wa Kata ya Usinge kwa Kamati ya Usalama ya Mkoa iliyoonyesha uwepo wa akiba ya kiasi cha shilingi milioni 250 .

Balozi Dkt. Batilda alisema katika taarifa ya Kurugenzi Mtendaji kwa Waziri Mkuu ilionyesha kuwa wameshatumia kiasi cha zaidi milioni 600  na majengo bado hayajaisha.

Alisema baada ya taarifa hiyo kama kutakuwepo ma ubadhirifu wa matumizi ya fedha katika mradi huo watakaobainika watachukuliwa hatua ikiwemo kufikishwa kwenye vyombo vya sheria.

Awali Mkurugenzi Mtendaji Jerry Mwaga alisema katika taarifa waliyotoa kwa Waziri Mkuu hawakuweka gharama za vifaa ambavyo vilivyokuwa kuwa katika ghala.

Alisema kuwa hali hiyo ilifanya kuonekana kuwa fedha zilizotumika ni nyingi kuliko hali halisi.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Paul Matiko alisema Kamati ya Uchunguzi inahusisha Ofisi ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU), Ofisi ya Mkaguzi wa Ndani, Wahandisi wa Wilaya wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira(RUWASA),Wakala wa Barabara Vijijini(TARURA) na Ofisi ya UsalamaWilaya(DSO)

Wakati wa ziara ya Waziri Mkuu Kasim Majaliwa katika Kituo hicho hakuridhishwa na matumizi ya fedha na kazi ambayo imekwisha fanyika na kutoa miezi miwili kuhakikisha wamekamisha bila hata kuongeza fedha nje ya walizopatiwa.

Fedha hizo zilitolewa kwa ajili ya Jengo la Wagonjwa wa Nje(OPD), Wagonjwa wa Ndani(IPD) na Upasuaji na Jengo la Wazazi.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKOA WA TABORA WAPATA ALAMA YA KIJANI KATIKA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE.

    August 27, 2025
  • RC TABORA AKAMILISHA AHADI MILIONI 15 KWA BONDIA ZUGO, PAMBANO KALI KATI YA ZUGO NA KUMAR KUFANYIKA KESHO TABORA HOTEL

    August 22, 2025
  • “KANISA LIPO TAYARI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUENDELEZA MAENDELEO TABORA: KARDINALI RUGAMBWA”.

    August 11, 2025
  • TFS YAENDESHA MAFUNZO YA UHIFADHI WA MAZINGIRA DHIDI YA UHARIBIFU WA ARDHI NA MISITU MKOANI TABORA

    August 11, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice
  • Migration Tanzania

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa