• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

SERIKALI YA MKOA WA TABORA KUTOWAVUMILIA WALIMU WANAOZALISHA SIFURI NYINGI

Posted on: August 9th, 2019

SERIKALI YA MKOA WA TABORA KUTOWAVUMILIA WALIMU WANAOZALISHA SIFURI NYINGI

SERIKALI ya Mkoa wa Tabora imesema haitasita kuwachukulia hatua Wakuu wa Shule za Sekondari na Msingi ambao watakuwa na wanafunzi wengi waliopata Daraja la nne na Sifuri.

Kauli hiyo imetolewa hivi karibuni na Katibu Tawala Mkoa wa Tabora Msalika Makungu wakati wa mkutano wa umoja wa Wakuu wa Shule za Sekondari (TAHOSA) mkoani Tabora.

 

Alisema Shule zinazozalisha sifuri na Daraja la nne (division four) kwa wingi ndizo zinasababisha Mkoa wa Tabora kutoshika nafasi ya kwanza katika matokeo mbalimbali ya kumaliza elimu ya msingi na Sekondari.

 

“Hatutasita kumchukulia hatua wale wanaotuvutavuta shati tuzifanye vizuri na hivyo kuwa na watoto waliopata sifuri na Daraja la nne kwa wingi…ni vema tufanya kazi kwa bidi na tujitadi kuondoa sifuri na kupunguza Daraja la nne mkoani kwetu” alisisitiza.

 

Alisema kuwa uwezo wa kuondoa sifuri na kupunguza Daraja la Nne upo kwa kuwa Shule ambazo wanafunzi wanafanya vizuri katika mitihani yao ya mwisho wanafundishwa na walimu sawa na wale walio Tabora na wamepata Mafunzo ya ualimu katika vyuo vil vile ambavyo walimu wa Tabora walipitia.

 

Makungu alisema walimu wakafanyakazi kwa bidii ili kuongeza idadi ya Shule za Msingi na sekondari nyingi zinazofanya vizuri ikiwemo kuingia katika kumi bora kitaifa na kuufanya Mkoa wa Tabora kutoka namba nane kuwa kwenye tatu bora Kitaifa.

 

Mwenyekiti wa umoja wa Wakuu wa Shule za Sekondari (TAHOSA) mkoani Tabora Penina Shani aliupongeza Uongozi wa Mkoa wa Tabora kwa kampeni yao inayoendelea ya kuondoa Daraja la sifuri na la nne.

 

Alisema hatua hiyo imesaidia baadhi ya Shule kushika nafasi za juu kitaifa ikiwemo Shule ya Wavulana ya Tabora ambayo imekuwa ya tano kitaifa katima matokeo ya kidato cha Sita.

 

Shani alisema kupitia TAHOSA Mkoani wameendelea kushirikiana na Serikali katika kuboresha elimu na kuongeza ufaulu kwa ngazi zote.

 

 

 

 

 

Mwisho

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa