• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

TABORA KUFAIDIKA NA MRADI WA VIJANA KILIMO BIASHARA

Posted on: November 24th, 2023

Leo Novemba 24, 2023 Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian ameshiriki kwenye Kikao cha Kujenga Uelewa wa Pamoja  wa Mradi  wa Vijana Kilimo Biashara utakaotekelezwa na (Shirika la Mpango wa Chakula Duniani) WFP, kilichohudhuriwa na wawakilishi kutoka WFP, SEIDA, Wakuu wa Wilaya, wataalam kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, wataalam kutoka Halmashauri zote za mkoa wa Tabora na Wadau Wengine wa sekta ya kilimo.

Kupitia kikoa hiko Mhe. Mkuu wa Mkoa amewataka Wakuu wa Wilaya wote ambao wilaya Zao zinapitiwa na miradi hiyo, kuandaa ardhi ukubwa usiopungua hekari 100 ambayo itatumika kutekeleza miradi hiyo.

Aidha Dkt. Batilda ametoa wito kwa vijana Mkoani Tabora kuchangamkia fursa zitakazopatikana kwenye miradi hii ya Kilimo Biashara ili kuwaanda vijana kujiajiri na kuongeza pato la taifa.

Ametoa pongezi kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri wa Kilimo na Wadau wote walipendekeza Mkoa wa Tabora kuwa miongoni mwa mikoa saba ambayo itafaidika na miradi ya Vijana ya Kilimo Biashara.

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian akiwa na Afisa Mahusiano WFP Ndugu. Neema Nima Sitta wakijadiliana kuhusiana na mtama ambao utakwenda kutumika kwenye miradi mbalimbali ya kilimo itakayokuwa chini ya WFP, wengine ni Mratibu wa Mradi kutoka WFP Ndugu. Abiud Gamba, Mwenyekiti wa Bodi ya SEIDA  Ndugu. Edward Mboga, Afisa Mtendaji Mkuu kutoka SEIDA na Katibu Tawala Msaidizi Kilimo na Biashara Ndugu. Bedavenerabilisy Chamatata Novemba 24, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian akiwa kwenye  mazungumzo na Afisa Mahusiano kutoka WFP Ndugu. Neema Nima Sitta, Mratibu wa Mradi kutoka WFP Ndugu. Abiud Gamba, Mwenyekiti wa Bodi ya SEIDA  Ndugu. Edward Mboga, Afisa Mtendaji Mkuu kutoka SEIDA na Katibu Tawala Msaidizi Kilimo na Biashara  Ndugu. Bedavenerabilisy Chamatata, waliofika ofisini kwa Mkuu wa Mkoa Novemba 24, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian akiwa kwenye picha ya pamoja na Afisa Mahusiano (Shirika la Mpango wa Chakula Duniani) WFP Ndugu. Neema Nima Sitta, Mratibu wa Mradi kutoka WFP Ndugu. Abiud Gamba, Mwenyekiti wa Bodi ya SEIDA  Ndugu. Edward Mboga, Afisa Mtendaji Mkuu wa SEIDA na Katibu Tawala Msaidizi Kilimo na Biashara Ndugu. Bedavenerabilisy Chamatata. Novemba 24, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian akiwasili kwenye Kikao cha Kujenga Uelewa wa Pamoja  wa Mradi  wa Vijana Kilimo Biashara utakaotekelezwa na (Shirika la Mpango wa Chakula Duniani) WFP Mkoani Tabora, kinachofanyika katika Ukumbi wa Isike Mwanakiyungi.

Badhi ya Wakuu wa Wilaya kutoka Mkoa wa Tabora wakiwa kwenye Kikao cha Kujenga Uelewa wa Pamoja  wa Mradi  wa Vijana Kilimo Biashara utakaotekelezwa na (Shirika la Mpango wa Chakula Duniani) WFP Mkoani Tabora, kinachofanyika katika Ukumbi wa Isike Mwanakiyungi.

Makatibu Tawala kutoka  Wilaya zote Mkoani Tabora wakiwa kwenye Kikao cha Kujenga Uelewa wa Pamoja  wa Mradi  wa Vijana Kilimo Biashara utakaotekelezwa na (Shirika la Mpango wa Chakula Duniani) WFP Mkoani Tabora, kinachofanyika katika Ukumbi wa Isike Mwanakiyungi.

Baadhi ya Wenyeviti wa Halmashauri  Mkoani Tabora wakiwa  kwenye Kikao cha Kujenga Uelewa wa Pamoja  wa Mradi  wa Vijana Kilimo Biashara utakaotekelezwa na (Shirika la Mpango wa Chakula Duniani) WFP Mkoani Tabora, kinachofanyika katika Ukumbi wa Isike Mwanakiyungi, Novemba 24, 2023.

Baadhi ya wataalam wa Kilimo na Biashara kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora na Halmashauri zote za Mkoa wa Tabora washiriki kwenye Kikao cha Kujenga Uelewa wa Pamoja  wa Mradi  wa Vijana Kilimo Biashara utakaotekelezwa na (Shirika la Mpango wa Chakula Duniani) WFP Mkoani Tabora, kinachofanyika katika Ukumbi wa Isike Mwanakiyungi, Novemba 24, 2023.

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian akihutubia kwenye Kikao cha Kujenga Uelewa wa Pamoja  wa Mradi  wa Vijana Kilimo Biashara utakaotekelezwa na (Shirika la Mpango wa Chakula) WFP Mkoani Tabora, kinachofanyika katika Ukumbi wa Isike Mwanakiyungi, Novemba 24, 2023.

Afisa Mahusiano kutoka WFP Ndugu. Neema Nima Sitta akitoa ufafanuzi wa kina kuhusiana na mradi wa vijana wa Kilimo Biashara unasimamiwa na WFP kwenye Kikao cha Kujenga Uelewa wa Pamoja  wa Mradi wa Vijana Kilimo Biashara utakaotekelezwa na (Shirika la Mpango wa Chakula) WFP Mkoani Tabora, kinachofanyika katika Ukumbi wa Isike Mwanakiyungi, Novemba 24, 2023.

Mratibu wa Mradi kutoka WFP Ndugu. Abiud Gamba akitoa ufafanuzi wa kina kuhusiana na mradi wa vijana wa Kilimo Biashara unasimamiwa na WFP kwenye Kikao cha Kujenga Uelewa wa Pamoja  wa Mradi  wa Vijana Kilimo Biashara utakaotekelezwa na WFP Mkoani Tabora, kinachofanyika katika Ukumbi wa Isike Mwanakiyungi, Novemba 24, 2023.

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian akiongoza majadiliano mara baada ya uwasilishwaji wa taarifa kuhususiana na mradi wa vijana wa Kilimo Biashara unaosimamiwa na WFP kwenye Kikao cha Kujenga Uelewa wa Pamoja  wa Mradi  wa Vijana Kilimo Biashara utakaotekelezwa na WFP Mkoani Tabora, kinachofanyika katika Ukumbi wa Isike Mwanakiyungi, Novemba 24, 2023.

Afisa Mahusiano kutoa (Shirika la Mpango wa Chakula Duniani) WFP Ndugu. Neema Nima Sitta akimkabidhi zawadi ya mkoba Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian.

Mradi wa vijana wa Kilimo Biashara  hapa Mkoani Tabora unatarajia kuanza mwa mwaka huu ambapo jumla ya Wilaya tano (5) kufaidika na miradi hiyo zikiwemo wilaya ya Sikonge, Igunga, Nzega, Uyui na Wilaya ya Tabora. Ambapo kati ya wilaya hizo Wilaya nne (Uyui, Nzega, Tabora na Igunga) miradi itajikita kwenye mazao ya Kilimo na wilaya hususani alzeti na mtama. Na Wilaya moja (Sikonge) miradi itajikita kwenye uzalishaji wa asali. Ambapo jumla ya kaya 15,000 kufaidika na miradi hiyo.


Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa