• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

TABORA KUONGEZA NGUVU KATIKA UWEKEZAJI WA UFUGAJI NYUKI

Posted on: September 3rd, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Buriani amesema wanatarajia kutengeza  mizinga ya kisasa laki mbili (200,000) kwa mwaka huu ili kuongeza uzalishaji wa asali.

Alisema mpango huo unatarajiwa kufanyika baada ya mkutano na  wadau wa sekta ya ufugaji na uzalishaji wa asali kutoka katika Halmashauri zote za Mkoa wa Tabora kwa ajili ya kutoa mafunzo ya utengezaja wa mizinga ya kisasa.

Balozi Dkt. Batilda amesema hayo leo Ofisi kwake alipokutana na Wajumbe wa Kamati iliyoundwa na Wizara ya Maliasili na Utalii ya kufuatilia Malalamiko ya Mwingiliano wa Matumizi ya Ardhi katika Mapori yaliyopandishwa Mkoani Tabora.

Amesema hivi sasa Mkoa wa Tabora una mizinga ya asali 407,688 na kisasa 43,143 ambayo ina uwezo wa kuzalisha  kuzalisha tabi 2,437 za asali na nta tani 90.

Balozi Dkt. Batilda amesema wanataka kuongeza uzalishaji wa mazao mbalimbali ya nyuki kwa ajili ya kuwainua kiuchumi wafugaji na kuutangaza Mkoa wa Tabora dunia kote kwa ufugaji wa nyuki.

Amesema watatumia Chuo cha Mafunzo ya Ufugaji Nyuki Tabora kutoa mafunzo kwa vijana wengi kuhusu utengezaji wa mizinga ya kisasa ili waunde vikundi ambavyo Halmashauri za Wilaya kupitia mikopo ya asilimia 10 itaviwezesha kuanzisha maeneo makubwa ya ufugaji kwa ajili ya kuongeza wingi asali.

Mkuu huyo wa Mkoa amesema sanjari hilo la kutoa mafunzo ya ufugaji wa nyuki watakitumia Chuo hicho kuzalisha makundi ya nyuki ambayo yatatolewa kwa wafugaji ili waongeze uzalishaji.

Aidha Balozi Dkt. Batilda amesema wataendelea kutoa elimu kwa wananchi kuepuka ucomaji moto na kuendesha kilimo ambacho kinazingatia utunzaji wa mazingira kwa ajili ya kuwa na maeneo ambayo yataachwa ili kufugaji nyuki.

Katika hatua nyingine Mkuu huyo wa Mkoa amewaagiza Wajumbe wa Kamati iliyoundwa na Wizara ya Maliasili na Utalii ya kufuatilia Malalamiko ya Mwingiliano wa Matumizi ya Ardhi katika Mapori yaliyopandishwa Mkoani Tabora  kutoa na mapendekezo ambayo yatasaidia kuondoa migogoro baina ya wananchi na Mamlaka ya Uhifadhi wa Wanyamapori (TAWA) na Wakala wa Uhifadhi wa Mistu Nchini (TFS).

Amesema mapendelekezo ni vema yakalenga kuendeleza  uhifadhi endelevu na matumizi ya maendeleo ya wananchi bila kuathiri uhifadhi.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa