• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA MABWAWA YA KUTIBU MAJITAKA

Posted on: February 22nd, 2023

Tabora Manispaa

22/02/2023

__________________

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Salha Burian ameshuhudia zoezi la utiaji Saini mkataba wa ujenzi wa mabwawa ya kutibu majitaka unaosimamiwa na TUWASA chini ya Mkandarasi M/S Peritus Exim Private Limited. Zoezi hilo pia limeshuhudiwa na kamati ya ulinzi (M) Tabora na Viongozi wa CCM (M).

 

Katika hotuba yake Dkt. Batilda alianza kwa kumshukuru Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha ambazo zinasimamia miradi ya maendeleo kwa mkoa wa Tabora. Na pia alitoa shukrani kwa wizara ya maji na viongozi wa CCM kwa kuisimamia vema Ilani ya CCM ya mwaka 2020.

 

Aidha Dkt.Batilda amewataka TUWASA kuweka mifumo bora ya maji kwani tayari serikali imeshatoa fedha Bilioni 640, kutoa maji ziwa Victoria hadi Tabora. Na hivyo kuna kila haja ya kuweka sawa mifumo ya uondoshaji wa majitaka.

 

Ametoa wito kwa wadau mbalimbali kutoa ushirikiano kwa TUWASA ili kutoa huduma bora kwa wananchi wa Tabora. Lakini pia amewataka TUWASA kusimamia kikamilifu mkandarasi ili mradi huo ukamilike kwa wakati na wenye ubora unaotakiwa.

 

Amewataka wanatabora kulipa Ankara zao kwa wakati, kulinda miundombinu ya maji ili kuiwezesha TUWASA kutoa huduma bora kwa wananchi wa Tabora.

 

Naye mwenyekiti Bodi ya TUWASA Dick Mlimuka, amemuhakikishia Dkt.Batilda kuwa, kwa kushirikiana na mkandarasi, watasimamia mradi huo na kukamilika kwa wakati uliopangwa.

 

Na kwamba ujenzi huo utagharimu Billioni moja, million mia sita ishirini na nane, Mia nane thelathini elfu, mia mbili themanini na tisa na senti sabini na sita( 1,628,830,289.76) na utachukua muda wa miezi 12 kukamilika, na kukamilika kwa mradi huo kutaboresha utunzaji wa mazingira.

______________________

 

 

 

Matangazo

  • WALIOCHANGULIWA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA TABORA December 14, 2022
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • NAMBA ZA MAWASILIANO OFISI YA MKOA TABORA November 23, 2020
  • Angalia zote

Habari mpya

  • CCM TABORA WARIDHISHWA NA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM YA MWAKA 2020-2025

    March 20, 2023
  • UFUNGUZI WA KIKAO CHA TATHMINI YA MAENDELEO YA MKOA(RCC)

    February 21, 2023
  • UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA MABWAWA YA KUTIBU MAJITAKA

    February 22, 2023
  • KALIUA TABORA

    January 05, 2023
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • Government Portal
  • SALARYSLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa