• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

WAZIRI MKENDA “SERIKALI INATAMBUA MISINGI YA ELIMU JUMUHISHI”

Posted on: November 25th, 2023

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Pof. Adolfu Mkenda amewahakikishia watanzania kuwa, Serikali inatambua misingi ya elimu jumuhishi ili kuwapa nafasi wanafunzi wenye mahitaji maalumu kusudi wasiachwe nyuma. Ameyasema hayo alipokuwa akihutubia kwenye mahafali ya Tisa (9) ya  Chuo Kikuu Cha Askofu Mkuu Mihayo Tabora (AMUCTA) kwenye viwanja vya AMUCTA vilivyopo Manispaa ya Tabora. Novemba 25, 2023.

 

“Ushirikishwaji katika elimu sio tu jambo la maadili na hiari, bali ni haki msingi ya binadamu. Lazima tuhakikishe kuwa kila mtu, bila kujali uwezo wake wa kimaumbile au kiakili, anapata elimu bora” alisema Waziri Mkeda

Waziri Mkenda ameeleza kuwa, licha ya kuwa na changamoto kwenye utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu na kati, bado Serikali  ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imejidhatiti kwenye kuhakikisha wanafunzi wote wanaokwenda chuo wanapata mikopo bila kujali chuo cha Serikali au binafsi.

“Ni imani yangu ongezeko la wanachuo wanaonufaika na mikopo ya Elimu ya Juu na sasa stashahada, ni jitihada mahususi za Rais wetu za kuongeza wigo wa kupata elimu kwa watanzania” Alisistiza Mhe. Waziri 

Aidha, Profesa Mkenda amefafanua kuwa, Serikali inatambua mchangoa wa Taasisi za kidini na sekta binafsi kwenye utoaji wa elimu bora kwa kuweka misingi imara ya utoaji wa elimu jumuhishi na mfano mzuri ni Chuo Kishirikishi cha AMUCTA kilichopo Mkoani Tabora.

“Kipekee napenda kuwahakikishia kwamba Serikali inatambua mchango wa Chuo Kikuu Kishiriki AMUCTA kwa kuwa kinara katika kuwekeza zaidi katika kuweka mazingira ya kujifunzia na kufundishia kuwa jumuishi” alisema Profesa Mkenda

Naye, Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mhe. Peter Bura akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian, ameeleza kuwa uongozi wa Mkoa unatambua mchango mkubwa unatolewa na Chuo Kishirikishi cha AMUCTA kwenye utaoji wa elimu jumuhishi kwa kuwaandaa walimu ambao wanakwenda kuwatumikia watanzania.

Mahafali ya Tisa (9) ya  Chuo Kikuu Cha Askofu Mkuu Mihayo Tabora (AMUCTA) yaliofanyika katika viwanja vya AMUCTA vilivyopo Manispaa ya Tabora yalihusisha jumla ya wanafunzi wahitimu 357.





Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa